IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,740
- 10,266
Hauna, so shut up and stop posting your feelings here and presenting them as if they are trueTake your time scroll utafute hio video, watu washasema hawanunui hence adding the deadline 🤣🤣🤣🤣🤣
We did this in Tanzania 1972
hii ni cowshed sio stadium
Huwa unatupa updates za Kenya na unakosa kutujulisha yaliyowakumba pale Mbeya. Umetoka maadamano?🤣🤣mpo nyuma sana, hii sio stadium ni cowshed
Huwa unatupa updates za Kenya na unakosa kutujulisha yaliyowakumba pale Mbeya. Umetoka maadamano?🤣🤣
View: https://x.com/mariastsehai/status/2113044232952823810?s=46
Kwahiyo ichoboy01 cku hz ameungana na wakenya? Duh waafrika kwa unafki hatujambo, yn hukubaliani na serikali ndo inafanya uponde nchi yako 😄😄😄😄😄
mwanaetu alifukuzwa vyeti feki itakua bado ana machunguNi kweli hata mm sikubalian na serikali ya wahuni iliyopo madarakani ila naipenda Nchi yangu Tanzania huniambii kitu serikali zitapita japo kwa maumivu sina nchi nyingine tofauti na Tanzania Tangu Mwl had Id amini mama zimepita ngapi ni swala la mda tu
This investment will benefit Kenyans in terms of taxes and employment and this Arab owner. Tanzania will not benefit from this deal.
Anadhan investors wapo pale kuwaletea ela wale 🤣 🤣 🤣Mbona kinyongee sana sasaa....
Hiyo tax ndio ataichukua Tena kwa mlango wa nyuma kufidia gharama za uwekezaji wake. Ni kuwatumikisha tu kama manamba hapo. HQ ya Amsons na familia yake wako wapi? Bhas faida yote ndio inakwenda hukoo...