Hiyo budget ya 750m iko wapi?sasa matusi ndio yatasaidia kuwarudisha nyuma? sisi tumebakia uchawa wa kusifia upuuzi tu all the time, tunatumia 750m ku support miss grant jehan ashinde alafu yeye anapata million 85 alaf tunashangilia 😂😂
Share hapa ushahidi nikusaidie kupinga.