huyo dangote unafkiri haijatuuma mpaka mukaenda kulmleta vitol iwe danganya toto mufunike maumivu ya kuchukuliwa tonge mdomoni alaf unaongea nn hapaππππnan anagombania wawekezaji? πββοΈ πββοΈ wawekezaji wapo kwa ajili ya sector ambazo bado ni ngumu kufanyika na wazawa na sio kuja kujenga hoteli, we fala nn, yaani utoke nje uje kujenga appartment useme umefanya uwekezaji, alafu hao slum members ela watoe wap?
Endelea kishangilia kampuni ta Mwarabu. By the way how do acquisition of Oryx energy by Amsons help the ordinary Tanzanian?
Halafu kitu kibaya ni kwamba Tz haijengi affordable housing homes.The way Tanzania has now started copying the affordable housing model for Kenya, unfortunately for them they don't have the money to fund it.
Tuache uongo jamani, ni tonge lipi ambalo Tz kanyangβanywa.? Unaeza chukia serikali lakini kuwa mkweli usipotoshe jamii ati kwasababu serikali iliyopo madarakani hauipendi.huyo dangote unafkiri haijatuuma mpaka mukaenda kulmleta vitol iwe danganya toto mufunike maumivu ya kuchukuliwa tonge mdomoni alaf unaongea nn hapaππππ
Miss grand ni taji mkubwa, wala sio hela. Unajua team za EPL for instance zinawekeza sh ngapi.? pesa za kulipa wachezaji kila wiki, maintenance za viwanja vyao, gharama za usafiri, malazi ya wachezaji wakiwa kambini, na experience zingine.?what ever hata iwe million 100 still haivunji kua unapoteza 750m kwa ajili ya 100m ni akili au makamasiπππππππ
haya so far imetusaidia nn kama taifa ???? alaf tunashabikia upuuzi wakat nchi ina shida za kila aina
taji kubwa la kutoka wapi? au ww unahisi kila mtu anaakili za kichawa tu, limesaidia nn kama taifa zaidi ya kwenda kuwakusanya mashoga wa jijini na machangudoa wa sinza na kinondoni kwenda kukata mauno airport, au ww unahisi walienda bure wale?Miss grand ni taji mkubwa, wala sio hela. Unajua team za EPL for instance zinawekeza sh ngapi.? pesa za kulipa wachezaji kila wiki, maintenance za viwanja vyao, gharama za usafiri, malazi ya wachezaji wakiwa kambini, na experience zingine.?
Je kombe linathamani kuzidi gharama wanazotumia kushindania.?
dangote aim yake ilikua tanga lakini kiongozi anaulizwa anasema hana taarifa unategemea hilo tonge litakaa likusubiri uwe na taarifa ? tuongee ukweli bila uchawa hio project imetuuma ndio maana kuzima huo moto tukaandaa vitol aje tufanye maigizo ya danganya toto ili kutuliza maumivu na presha za watanzaniaTuache uongo jamani, ni tonge lipi ambalo Tz kanyangβanywa.? Unaeza chukia serikali lakini kuwa mkweli usipotoshe jamii ati kwasababu serikali iliyopo madarakani hauipendi.
Duh kwahio timu za EPL zinashiriki ili zipate kombe tu?! Ha ha ha kazi ipo.Miss grand ni taji mkubwa, wala sio hela. Unajua team za EPL for instance zinawekeza sh ngapi.? pesa za kulipa wachezaji kila wiki, maintenance za viwanja vyao, gharama za usafiri, malazi ya wachezaji wakiwa kambini, na experience zingine.?
Je kombe linathamani kuzidi gharama wanazotumia kushindania.?
Tuache sababu za Dangote kutowekeza Tz maanake kila mtu anasema lake. Honestly unataka kusema Dangote angewekeza Tz tusingenufaika? Na kuacha kuwekeza Tz hatujapoteza kitu?Tuache uongo jamani, ni tonge lipi ambalo Tz kanyangβanywa.? Unaeza chukia serikali lakini kuwa mkweli usipotoshe jamii ati kwasababu serikali iliyopo madarakani hauipendi.
Point of correction, "...uwekezaji WA Mwarabu...".Mimi nasifia uwekezaji wa Mtanzania Amsons.
Samia housing is just affordable housing with a different name.ππHalafu kitu kibaya ni kwamba Tz haijengi affordable housing homes.
Point of correction, "...uwekezaji WA Mwarabu...".
Endelea kushangilia Mali za warabu. Watanzania genuine like you what you do better is gossiping and begging.Wewe endelea kulia tuu... Sina Cha kukusaidia hapo!
Uwekezaji wa Amsons ni faida kwa Tanzania. Kama pia Taifa gas inavyochukua soko la Gas kunyaland na kuirudisha pesa nyumbani Tanzania.
Tuzilinganishe basi ground, tuone, fala mwenzako alileta huu mjadala juzi kati akaacha ndala.Samia housing is just affordable housing with a different name.ππ
Iβm glad you are now seeing your people the way we have been doing so for the last 10 years (very thick headed) π€£π€£mm hata ukinijua itsaidia nn, au ndio italeta maendeleo ππππππ picha zangu na personally ndio itasaidia nn
dangote aim yake ilikua tanga lakini kiongozi anaulizwa anasema hana taarifa unategemea hilo tonge litakaa likusubiri uwe na taarifa ? tuongee ukweli bila uchawa hio project imetuuma ndio maana kuzima huo moto tukaandaa vitol aje tufanye maigizo ya danganya toto ili kutuliza maumivu na presha za watanzania
Uzuri nyie wote ni wakubwa zangu humu na ni watu ninaowaheshimu..Tuache sababu za Dangote kutowekeza Tz maanake kila mtu anasema lake. Honestly unataka kusema Dangote angewekeza Tz tusingenufaika? Na kuacha kuwekeza Tz hatujapoteza kitu?
Kumbe hii vumbi umeshinda ukiimba kila kukicha ni projection ya your own village of mbeya issues π€£π€£π€£mbna ndo nairobi hio, unaitukana tena π€£π€£π€£
View attachment 3696375
Endelea kushangilia Mali za warabu. Watanzania genuine like you what you do better is gossiping and begging.
Uzuri nyie wote ni wakubwa zangu humu na ni watu ninaowaheshimu..
Dangote angewekeza ni sahihi kuwa tungepata faida, lakini ujio wake ulikuaje.? Je ilikua sahihi sisi tuwekeze na Kenya kajipenyeza humo humo.? Hata huyo museveni asingekubali kupigwa collabo na mafuta yake.. Dangote ni miwekezaji ambae aliletwa na wakunya ndio walianza kumpiga sound, serikali ilikua sahihi kumpiga za uso kwa maslahi mapana yetu sisi Tz pamoja na mshirika wetu UG .. huoni sasa tunayo room ya kujenga wenyewe bila kelele.?