Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hata pale twitter na facebook wakiona random person anasifu Talanta Stadium, wanakuja na ile picha ya presidential lounge.😂😂
They are even embarrassing themselves. Every country in Africa is praising Talanta as among the top 5 best stadiums in entire Africa, the only country suffering from that declaration is Tanzania.
 
Hapa naona both the Skyboxes and the Presidential Lounge and Pavilion. Kuna wenye wanataka kulazimisha presidential lounge to be a Skybox 😂😂
Mimi huwa sipigizani kelele saana, suala la muda tu. Muda utafika na utakimbia humu.
 
They are even embarrassing themselves. Every country in Africa is praising Talanta as among the top 5 best stadiums in entire Africa, the only country suffering from that declaration is Tanzania.
Hebu panga hiyo list 😂😂😂
 
unajua nn kuhusu refinery icho girl 🤣 🤣 ulitaka ajenge refinery uganda alafu auze vp kwenye ships 🤣🤣🤣🤣
ingekuja tayar ni mafuta ready for use for export au whatever lakini usinambie uganda ye hataki investment ya refinery ambayo ni huge investment ya over may be 18b usd alaf kumbuka mafuta yanayochimbwa uganda mbia mkubwa ni TOTAL na CNOOC so unategemea mfaransa na mchina waache kupeleka crude oil kwao ili kuendelea kutengeza ajira makwao wakuletee wewe uliesinzia na kulala umebakia uchawa all the time? 😂😂😂
 
Tunaeza bishana hapa mpaka kesho kutwa, mimi naliacha kiporo hili jambo, muda ndio utaleta majibu.
haya mambo yaache sahau kitu kinaitwa refinery, hakuna cha muda wala wakati, yani vitol bahrain atoe ajira kwake aje akuletee ajira kwako wakat crude oil yenyewe sio yake ni ya total na CNOOC😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻

hio ya vitol ilikuja baada ya dangote kuchagua kenya hio inaitwa political mindset
 
Siku zitafika na nitakupa risiti zako.
 
Siku zitafika na nitakupa risiti zako.
tena itunze hio receipt vzr na mm kadiri ya muda na miaka inavokwend nitakua nakutag ili unipe mrejesho

waswahili husema kadiri ya upepo uvumao ndio kijambio cha kuku kinazidi kua wazi 😂
 
Hivi unajua Tangu nchi ipate uhuru ni kipindi ambacho TZ inatengenezwa sana.?
inatengenezwa nn ikiwa 2021 march deni la taifa lilikua 59 trillion leo 2026 deni la taifa liko over 110 trillion, haya tuambie hio nchi umejenga nn kiasi cha deni la taifa kuongezeka kwa over 51 trillion huku nchi inakusanya kodi, inauza madini mpaka reserve za madini BOT, nchi inakusanya fedha za watalii, haya wewe nielezee tumejenga nn zaidi ya awamu zilizopita
 
Hapo nilipo bold uko sahihi na japa huyu maza alipuyanga sana.
 
Back
Top Bottom