stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Sasa unaniuliza mimi pesa za Mke wa GSM?unaniuliza mm kaulize wapiga kura kila kichwa kimoja 2800 tsh na pesa zilimwagwa mitaani na vocha za bundle juu alaf tumepata faida gani in return? mke wa gsm pekee alitoa zaidi ya 25m vipi matajiri wengine na serekali kwa ujumla?
Ila bro kwenye hii ya dangote binafsi naona sawa,sisi tuna bandari na ardhi kubwa tumetoa,uganda wana mafuta,dangote angekuja na pesa,pale kenya walikuja kwa kuoffer kitu gani?shida hii nchi sijui tumekuaje bro na mm nimeamini uchawa ni catastrophe ya nchi hii yani 17b usd investment mtu anakwambia tusingefaidika 😂😂😂😂
Anaitwa Patrick?Okay relax PatrickView attachment 3696477
alaf mtu kisa ni chawa anasema tanzania isingeneemeka na dangote project😂😂
View: https://www.instagram.com/p/DewPnv0j8lB/?img_index=5&srtk=MW0xZm5wYjF5ZzN6aQ==
Which county do you want to compare with? Just pick one county out of the 47.Tuzilinganishe basi ground, tuone, fala mwenzako alileta huu mjadala juzi kati akaacha ndala.
Kijana wenu ameolewa.Watanzania genuine Sasa hivi ndio tunapangilia sera za vijana wa kunyaland hapo. Kijana wetu Isaya anamtuma Charlene kumpangia Kasongo namna atawapanga mafala wa slums.
Kijana wenu ameolewa.
So Kenya ndio hakuna ardhi kubwa na bandari? You are reasoning like someone who has smocked bang already.Ila bro kwenye hii ya dangote binafsi naona sawa,sisi tuna bandari na ardhi kubwa tumetoa,uganda wana mafuta,dangote angekuja na pesa,pale kenya walikuja kwa kuoffer kitu gani?
Hapa naona both the Skyboxes and the Presidential Lounge and Pavilion. Kuna wenye wanataka kulazimisha presidential lounge to be a Skybox 😂😂Daily Dose,
View attachment 3696554
Na wewe je? Unafaidikaje na kuolewa kwake?Ndio, anaishi hapo State House. Anapanga ratiba za nyumbani hapo na namna ya kuwapanga vijana wa kunyaland.
Yani hata pale twitter na facebook wakiona random person anasifu Talanta Stadium, wanakuja na ile picha ya presidential lounge.😂😂Hapa naona both the Skyboxes and the Presidential Lounge and Pavilion. Kuna wenye wanataka kulazimisha presidential lounge to be a Skybox 😂😂
kinachotoka uganda ni crude oil ambayo inaetakiwa kua exported kwenda nchi za nje kwenye refineries, hakuna refineries itajengwa tanzania bro ile ilikua siasa danganya toto ya kupunguza hasira baada ya kukosa dili la dangote, na kama ingekua kujengwa refineries basi ingejengwa hoima uganda na sio vinginevyo, bro mark my words ni pigo kubwa sana tumelipata kama taifa hata kama ukweli ni mchungu but hio ndio realityIla bro kwenye hii ya dangote binafsi naona sawa,sisi tuna bandari na ardhi kubwa tumetoa,uganda wana mafuta,dangote angekuja na pesa,pale kenya walikuja kwa kuoffer kitu gani?