The project was on long before Dangote afikirie kuhusu refinery in East Africa. Through Tanzania, Vittol gained access to markets in the neighbouring countries and supplied cheap fuel. The plan was for Vittol to invest in Tanga as an energy hub to supply all these markets, and Ruto was aware of this; it was a threat to the Kenyan economy, so he tried to sabotage the deal by roping in Dangote for the Tanga refinery, hoping TZ would bite the hook and cancel the arrangement with Vittol, but that was not the case; sasa ikabidi wahamie kwenye PR za Lamu refinery to rival Vittol's deal in Tanga.Mnaojua what went on behind the scene kwanini mnaongea kwa mafumbo? Una maana Vittol project was on before Kasongo kuibuka na Dangote?
Heiiiiiiiiii Chineeeeekeeeeee! π€
Chief, unafikiri investment ya 17bn dollars ni kama kuuza chapati? Hujiulizi unaleta construction equipment kwa kujenga refinery; financing arrangement imefikia wapi? Equity ya Dangote ni ngapi, na finance arranger ni bank gani, nani ana insure hiyo loan na pia is there any contract in place for the project na contractor? What are the financial, legal, and commercial terms agreed? Propaganda huwa ina mwisho wake.alaf mtu kisa ni chawa anasema tanzania isingeneemeka na dangote projectππ
View: https://www.instagram.com/p/DewPnv0j8lB/?img_index=5&srtk=MW0xZm5wYjF5ZzN6aQ==
Unakuanga Jamaa wa uongo Sana. The country that brought Vitol was Uganda and not Tanzania πππ€£The project was on long before Dangote afikirie kuhusu refinery in East Africa. Through Tanzania, Vittol gained access to markets in the neighbouring countries and supplied cheap fuel. The plan was for Vittol to invest in Tanga as an energy hub to supply all these markets, and Ruto was aware of this; it was a threat to the Kenyan economy, so he tried to sabotage the deal by roping in Dangote for the Tanga refinery, hoping TZ would bite the hook and cancel the arrangement with Vittol, but that was not the case; sasa ikabidi wahamie kwenye PR za Lamu refinery to rival Vittol's deal in Tanga.
Kabisa bro,uzalendo kwanza hawa viongozi wanapita tu,hawa kunyan utakuta mtu ampendi rais aliepo na kuna magumu anayopitia dhidi ya huo utawala,ila kwenye uzalendo anaweka nchi kwanza,kenya kuna magumu mengi wanapitia na wanajua wizi unaofanywa na wanasiasa wao ni mkubwa kuliko TZ,lakini utoona mkenya anaiponda nchi yakeAcheni mambo hayo.
Hakuna haja ya ku-go offensive dhidi ya watu walioa amua kuwa tofauti na kuungana na wakenya. Hao watapoa.
Mimi.pia simkubali Samia na unajua hili but siwezi take that offensive route dhidi ya nchi na watu.
Ile ya kaskazini aliyoiacha mkoloni bado iko in service kama zile F5 tuu π
Njia ya muongo huwa fupi πDangote Refinery is an FDI. By the way talking of FDI, Kenyan FDI is 3* bigger than FDI ya Tanzania.
you canβt differentiate FDI from Equity?Dangote Refinery is an FDI. By the way talking of FDI, Kenyan FDI is 3* bigger than FDI ya Tanzania.
Three times you say, where is the evidence?Dangote Refinery is an FDI. By the way talking of FDI, Kenyan FDI is 3* bigger than FDI ya Tanzania.
ndio dunia ilipo sasaTrackless stadiums is the way to go.
hii ndio ukiskia akili za kichawa ndio hizi, total anachimba crude oil apaeleke kwake kwenye refinery yake na CNOOC ni mchina anachimba crude oil apeleke kwake, ww unatuletea siasa za alinacha za kuota mchana kuhusu vitol? ile ilikua danganya toto baada ya tonge kuondoka mdomoni full stopKwan EACOP imeanza lini na dangote kaanza pumba zake lini, alafu total na dangote nan anajua zaidi kuhusu bishara ya mafuta na nan anategeneza ela chafu zaidi ya mwenzake, tukianza apo nigeria tu serikali imerudi kuimport petrol na wana dangote mzawa ππππππ
mtu hawezi leta machinery imejaa meli mbili za over 3000 metric tons alaf unambie anafanya propaganda. hayo unayoulizia ww huwez kuyapata kwasababu huna access nayo ikiwa mkataba wa DP world huna access nayo kama mtanzania vipi unaulizia project ya watu?Chief, unafikiri investment ya 17bn dollars ni kama kuuza chapati? Hujiulizi unaleta construction equipment kwa kujenga refinery; financing arrangement imefikia wapi? Equity ya Dangote ni ngapi, na finance arranger ni bank gani, nani ana insure hiyo loan na pia is there any contract in place for the project na contractor? What are the financial, legal, and commercial terms agreed? Propaganda huwa ina mwisho wake.
1) icho girl mda wa kuolewa umefika, EACOP imeanza miaka mingi kabla hata ya dangote, yeye kaja kaikuta na mpango wa refinery ulikuepo toka mda mrefu including na ile ya hoima and infact m7 alisema kabisa ile sku ya uzinduzihii ndio ukiskia akili za kichawa ndio hizi, total anachimba crude oil apaeleke kwake kwenye refinery yake na CNOOC ni mchina anachimba crude oil apeleke kwake, ww unatuletea siasa za alinacha za kuota mchana kuhusu vitol? ile ilikua danganya toto baada ya tonge kuondoka mdomoni full stop
apo vp?mtu hawezi leta machinery imejaa meli mbili za over 3000 metric tons alaf unambie anafanya propaganda. hayo unayoulizia ww huwez kuyapata kwasababu huna access nayo ikiwa mkataba wa DP world huna access nayo kama mtanzania vipi unaulizia project ya watu?
Umeambiwa muda mrefu sana humu ndani lipia AI acha free versions utalishwa matango poriUnakuanga Jamaa wa uongo Sana. The country that brought Vitol was Uganda and not Tanzania πππ€£
View attachment 3696703
BTW wewe kama una akili sana tuambie mafuta anaenda kutoa wap maana unaonekana una mdomo kuliko akilimtu hawezi leta machinery imejaa meli mbili za over 3000 metric tons alaf unambie anafanya propaganda. hayo unayoulizia ww huwez kuyapata kwasababu huna access nayo ikiwa mkataba wa DP world huna access nayo kama mtanzania vipi unaulizia project ya watu?
mbna izo tunazo nyingi tu plus mpya ingine inajengwa, alafu ukanda huu amna mwenye viwanja vyenye standard kuliko sisindio dunia ilipo sasa