mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,693
- 7,052
umejaribu kuongeza mnyororo wa umaskini wako kwa kuongeza kusoma? 😂😂 maaana unaongea pumba as if unalala unaamka unaweka kiwanda cha kubagua korosho alafu straight unaanza kuuza , kwann usianze kwa kuongeza mnyororo wa umaskini kwako ili akili ikukae vizuri kidogo