Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Take the win and shovel it into the 🗑️ of nobody cares…..😜🤣🤣
IMG_0350.jpeg
 
Ila Afrika tuna shida mahali. Kwahio 2021-2026 miaka 5 zimejengwa 2000km only! Yaani 400km annually! Kwahio hela za El Nino ni kama bajeti ya barabara kwa mwaka!
hela za elnino zimeshakwenda na maji huku wanakwambia elnino ni jua kali 😆😆😆😆
machawa pia wameneemeka na hzo hela bila shaka
 
Usidogoshe hata kama una mpango wa kukosoa. barabra za TANROADS alizotaja hapo ni 13k km. Na nime comment kwene hiyo post mwandishi asahihishe namba alizoandika kwenye kichwa cha habari.
singapore ina ukubwa wa sq km 760 ya ni nusu ya dar ila wana mtandao wa barabara ya lami km 9500 wewe huogopi??😆😆😆
 
Back
Top Bottom