Wamejaaa bongo uku wanaosha vyombo watume remitance kwaoUchumi wao wa data za kupikahauendani na hali halisi kwa ground.
Wanaota, wanafanya juu chini wafanikiwe waende kwenye mafanikio, waende kuishi ndoto zao za maisha. Njci zenye neema na uchumi wa kweli.
Kaka hiyo post uliyoreply mbona imefutwa! 😂😂😂Leta tuone basi. 😂😂😂. Kuna mkenya mwenye ako na hela hata mmoja.? Ikiwa hao mazungu tu maloezi hapo kunya biashara zao zimewashinda wanawauzia waTz ndio mnuka mavi hapo ukinduni awe na hela ya kumiliki kampuni.? Labda udalali.
Wao wakisifia nchi yao ni sawa, wewe uskisifia unaitwa Sisiemu! 😂😂😂Bisha kwa hoja mzee. 😂😂😂 naskia umefilisika huko we kapuku, njoo nikupeleke tangu muheza walau ununue shamba ule chungwa utu uzima uzee unakunyemelea, utaaibika huko US.