Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni ajabu kuona wajinga kama wewe unaombea maafa.

Mwaka juzi tuu hapo El Nino ilibiou madaraka yakakatika Nchi nzima na Serikali kukopa zaidi ya 1.5T kuyajenga Mikoa yote Sasa hivi pesa zimetengwa 730 bln na zinasubiria maafa yet watu mnaombea.

El Nino ya mvua isipokuja ni habari Njema pesa itatumika elsewhere ila ikija huto tuhela tunaweza ongezeka mara 6 zaidi.
pesa itatumika au pesa zishaliwa na tuko katikati ya elnino tunaenda mwishoni😆😆

yani nyinyi munafkiri watanzania wanaakili kama zenu za black and white
 
Are these people really normal?😂

1000448132.jpg
 
pesa itatumika au pesa zishaliwa na tuko katikati ya elnino tunaenda mwishoni😆😆

yani nyinyi munafkiri watanzania wanaakili kama zenu za black and white
Pesa ziko kwenye taasisi walikoyengq Bajeti,zingine tayari zingine Bado ,kwani wewe hujaona TanRoads wakisambaza vifaa vya uploaji wa mda na madaraja ya mda kama pipe culverts,gabion box,madaraka ya chuma nk?

Kila taasisi kulingana na aina yake ya shughuli.
 
Tanzania is not better or more talented than Kenya in Football, you just have a more better organization of your game. Kudos to you !…
Unakuja halafu unaondoka....unakuja hiviii halafu unapotea. If you know what I mean. 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom