Nyie viazi wa kaskazini njooni kuna ujumbe wenu huku. Mwanenu mwenyewe huyo😁😁
View: https://web.facebook.com/share/v/1Eqs1YYiT7/
View: https://web.facebook.com/share/v/1Eqs1YYiT7/
are you trying to say, your feeling ashamed to post the pics 😂 😂 au upo kwenye uokozi 😂😂😂
View: https://x.com/RealKakuzi/status/2113628759513329741?s=20
atakachoenda kukutana nacho 😂 😂 maombi yenu kwa mdau, kajisahau kadhan mathare apa
View: https://www.instagram.com/reel/De14HnDuL1r/?utm_source=ig_web_copy_link&obrf=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Duh hawa jamaa ujenzi wao unatafakarisha sana duh
Hawapo hata kwenye mitandao kaka. Ni watu wachache sana wametengeneza accounts nyingi ili waonekane wakenya wanajadili.Kazi yao mitandaoni ni kuendesha mijadala ya kitoto. 😂😂😂
Tanzania hujengi gorofa bila geotechnical survey report (hii ina kuambia ni msingi wa aina gani unatakiwa hapo chini), Environmental Impact Assessment report, Fire certificate na uwe na michoro ya jengo husika pia ukishakuwa navyo hivyo ndio unapata building certificateSio poa lilivyodondoka,sad watu wamepoteza maisha yao kwa uzembe wa kijinga kabisa
hata wakina Nicxie naona nao hali ishakua mbaya hawaonekan tena online Teargass nae ndo huyo tia maji mwezi kaonekana dakika 3Hawapo hata kwenye mitandao kaka. Ni watu wachache sana wametengeneza accounts nyingi ili waonekane wakenya wanajadili.
Kwa hali ngumu ilivyokenya hawawezi afford internent.
jamaaa kaaambiwa soma akasema 99.9% 😂Duh jamaa noma chakari ile mbaya ana hatari sana huyu suka dah bahati yake kadakwa alikuwa anaenda kufa huyu
Yes, Banbros are building classic buses. Look at these units that they did to Tahmeed and Mash Poa.Alafu sikuizi ni Kama Banbros inapeleka Masters mbio. Their recent buses are better looking than Masters after years of Masters holding the crown. Soon Katarama will be importing Banbros too.
and ofcourse the buildings, was suprised to find out GTC is owned by communist party of chinaUkiwaambia hivi wanakasirika sana. 😂😂😂
Nyie viazi wa kaskazini njooni kuna ujumbe wenu huku. Mwanenu mwenyewe huyo😁😁
View: https://web.facebook.com/share/v/1Eqs1YYiT7/
😂😂😂 jamaa wana maajabu kweli hawa.Wao wakisifia nchi yao ni sawa, wewe uskisifia unaitwa Sisiemu! 😂😂😂
Pasi sukari za Simba hazitaweza kutoboa hapa dahprimia LIGI![]()
, nilikua najua chokoraaa
View attachment 3698683
View attachment 3698684
View attachment 3698685
shida watakimbia online 😂😂Pasi sukari za Simba hazitaweza kutoboa hapa dah