leo mauzo ya korosho kabla ya kuongezwa mnyororo wa thamani ni 1.45 trillion tsh, tunzalaisha zaidi ya tons 520,000 alaf mauzo ya korosho kabla kuongezewa thamani ni 410,000 tons iliobakia ndio hio inapita kwenye viwanda vidogo kuongezewa mnyororo wa thamani, leo tungewekeza heavily kwenye viwanda vya korosho tukaongeza thamani wenyewe na kutafuta masoko duniani, kwanza ajira zingepatikana lukuki na serekali ingekusanya kodi na bado export amout ingekua over 2.5 trillions, lakini kilichopo korosho zinaondoka nchini kama raw material zinaenda kwa wenzetu zinapita viwandani zinaongezewa thamani, ajira zinapatikana na kodi za serekali zao alaf wana export tena na wao