babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
Nimeona ameandika anamiliki hadi vitalu vya natural gas. πππKaifuta haraka haraka. πππ eti alikua anadai mkunya mwenzao anamiliki chai Bora.. πππ hakuna mkenya mwenye hela hata mpuuzi mmoja ukilinganisha na wawekezaji wakubwa wa kibongo, wao wakunya pesa zao zipo kwenye zile data za majarida tu, sio ground. Mazungu yenyewe yakishindwa biashara hapo kunyani yanawauzia waTz halafu yanakimbia. Hao makunya uwekezaji wao ni ule wa kidalali tu, hawana maajabu yoyote