babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
Huyo kaolewa US. 😂😂😂Jamaa ni lidwanzi kweli. 😂😂😂 sasa litarudi kubeba box hadi litoke kibyongo.
Nashuku huyo Shirley ndo kamuoa, ngoja nitaingia kwenye Department inayohusiana na hayo mambo tujue.
Badala ubaki kwenu uone unaamua kwenda zako US kuolewa!