Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pesa ziko kwenye taasisi walikoyengq Bajeti,zingine tayari zingine Bado ,kwani wewe hujaona TanRoads wakisambaza vifaa vya uploaji wa mda na madaraja ya mda kama pipe culverts,gabion box,madaraka ya chuma nk?

Kila taasisi kulingana na aina yake ya shughuli.
uliziona wewe 😆😆😆 wakat unaambiwa tuko katikati ya elnino na tunakwenda mwisho wa elnino, aisee hata niwe chawa vipi ziwezi kua na akili za kiwendawazimu za kubadili uongo kua ukweli

RIP 730b kwenye nchi maskini kama hii ambayo kiuhalisia ilitakiwa iwe mbele ya singapore
 

Unafiki.

1000448834.jpg
 
Back
Top Bottom