Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uwezo mdogo wa kufikiri ni tatizo hapa.
 
Lakini neno "CHAWA" lenyewe liliibuka awamu iliyopita, Siasa za nguvu na kukaba upinzani wote tunajua zilianza kipind gani. Chukia mchezo, usichukie mchezaji.
 
Hakuna mkenya anamshangaa hapa.

The guy is woke and he is really exposing your lies.
 
atleast kuna mambo sikuyajua, sikuwah kujua kua marcopolo zote nchini zinatoka AVA kenya
Hakuna basi linatengenezwa Kenya.
badala yake nilijua zinatoka south africa, tanzania leo nchi ya 6 kwa umaskini duniani
Leta ushahidi hapa. Huu ni mjadala wenye watu akili timamu
Huu siyo uzi wa machawa wala wakaza fuvu.

Punguza kutafuna mirungi, uwe na logic.
leo tumefika hatua tunaua viwanda vya sukari kwa kutoa vibali kuingiza sukari kiholela, how its possible leo tunaagiza mchele kutoka india na pakistan for 16.5m usd kwa mwaka over 43billion
TZ ina-export SUKARI kwasasa.

Hili ya kuua viwanda unasema wewe.

Yaani kiwanda binafsi, kinauliwaje?

Kiwanda kipi?

Una illusions?
kwenye kusifia ntasifia na kwenye kukosoa i will do the same, uchawa ni cancer ya nchi hii, lakini wacha inyeshe tujue panapovuja
Punguza hii illusions ya uchawa.

Huu siyo uzi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…