Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BRT Phase IV - Wakenya huku mtafika lini?

1793253454047.png
 
Hoima sio level yenu 🤣🤣🤣🤣 Hoima has hosted top level clubs unaijua alalhy kwanza 🤣🤣🤣🤣 and also they hosted mogadishu and got paid meanwhile 🤣🤣🤣🤣 your paying people to use the stadium 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 and whats worse no friendly match 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
All those laughs yet it can’t hide the fact that you’re hurting. I am so sorry for you.

View: https://x.com/paralyticscol/status/2115524365848608825?s=46
 
Sasa whats important apo 😂😂😂 are you even aware table tennis is more popular than rugby 😂😂😂 yaani sisi tunacheza champions league in and out kila wiki mwaka mzima we unatuonyesha mini event za mwaka mzima 😂😂😂😂 and your expecting to raise maintaince revenue from 5 events mwaka mzima 😂😂😂😂😂😂😂
Now that table tennis is popular than rugby, how many table tennis world championships has Tanganyika held?
 
Let’s be honest… if Mama invited Barca vs Liverpool to open Arusha , will you object ?..ongea ukweli ..
Aitokea hiyo TZ,tushainvite brazil ya kina kaka lakini ilicheza na taifa stars,tulipofungua mkapa stadium taifa stars ilicheza na uganda,hapo kwenu ingeleta maana harambee stars wangecheza hiyo game na timu kubwa duniani
 
Some people are just narrow-minded, making it about politics. Being an organizer myself, I personally believe that the exposure we are going to get by hosting this match will be a precedent for the intricacies of organizing successful world class competitions, and it will be such a great learning opportunity for many as well as tapping into a wider dynamic of sports tourism/business. Technically, this will propel us to another level and it’s an absolute win.
They were asking ni lini Kenya itafanya PR just because they brought unknown white lady to market their AFCON ambitions, now that we're are bringing Bayern and Ajax which is a mother of all PR, wanaanza kulia.
 
What is this?😆😆

Hawa wana ni watu wa makelele na kupenda kujichoresha na kuonekana.
Point ya haya yote ni nini?

Do you think Bayern, Ajax wanakuja hapo kwa gharama zao?
Unaleta hawa kufanya ufunguzi wa kiwanja kimoja for what na watu wako wanakufa na njaa, uwanja mkopo?


View: https://x.com/KipepeComrade/status/2115516255448785006

View: https://x.com/KipepeComrade/status/2115461023084007439?a=fD1oFbLERCweKzcAlIQ&s=20

Did you see any Kenyan complaining when you brought Drogba and Rio Ferdinand to come and see unfinished Stadium? Did those non influential figures come by their own? You paid them.

So keep quiet when we are doing our things at our own level.
 
What happened to buy kenya build Kunya
We are aiming for the international attention. Kenya is not international to us.

By the way mbona unaumia yet mlileta Drogba na Ferdinand kuwaringia incomplete stadium? Did you see any Kenyan complaining? Did you complain you as a Tanzanian?

Ama ni wivu ndio inakusumbua?😂😂
 
Siwezi kujenga nyumba ya gharama halafu kwenye uzinduzi nilete strangers outsider waje kudinyana hapo na wakati na Mimi nina Mke.

Huo ni ufala au sio ufalaa!?
Vile mlileta Drogba na Ferdinand nani alilalamika?🤣🤣😂.

Just because our PR is next level haimanishi unafaa kulia😂😂
 
Back
Top Bottom