Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nawasubiri wakurupuke kwanza halafu niwaue.
umeanza vizuri mkuu....big up.baada ya kuweka picha ya zile casino,naona wanatoa udenda,wanatamani wavuke boda waje kula bata dar es salaam.

hii ndio dar es salaam,kitovu cha kula bata east africa.

nairobi unaingia club kupata starehe huku ukihofia kushambuliwa na alshabab au kutekwa na wakora.
there is no guarantee of security in Nairobi.
 
Hapa bongo unakula kwa raha zako. Yaani pesa zako tu.
 
wakenya acheni uoga,wekeni hizo picha za sehemu zenu za starehe. Edward Wanjala and your team,you are disappointing us.
tunasubiri mjibu picha za casino ili battle iendelee.
 
wakenya acheni uoga,wekeni hizo picha za sehemu zenu z starehe.

tunasubiri mjibu picha za casino ili battle iendelee.
Labda tungeanza na bar ndogo ndogo ndio wangekuja mbio. Unajua kwenye universities nilianza na chuo flani cha kawaida halafu nikaweka majengo mabaya. Duh!! Walikuja kwa kasi wakidhani vyuo vyote viko hivyo. Sasa tuliwapa za uso na wakatokomea kabisa.

Sasa hivi tumeanza na mziki mnene sijui kama watatokea.
 
Hahaha waanzie kwa kuwawekea picha za ukumbi wa darlive ulioko mbagara.labda watakuja.za ma-casino zinawaogopesha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Lakini kwa vyuo vikuu tulishinda. Wasema nini bongolala wewe. Nairobi ina vyuo vikuu vingi kuliko Dar Es Salaam yote. Your universities look like high schools especially that University of Dar Es Salaam
 
Unafeli sasa mkuu
 
Wewe mbona unataka kulazimisha ushindi? Tatizo wewe hujui hata kutumia mitandao. Halafu unajua search engine ya google tu. Jifunze kutumia mitandao. Pia tafuta web browser ya maana. Sio hizo za chrome zina limitation ya information.
Wewe niambie mmeshinda kwa lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…