kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]We have good land than you.... and East Africa land sharing will never happen, we will kill you
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]We have good land than you.... and East Africa land sharing will never happen, we will kill you
Kuna casino ipo diamond tower sijajua jina lake ,naikubali sana
tumia google map mkuu,utapata jina lake.unai-google map diamond tower,baada ya hapo utaletewa majina ya ofisi zilizomo ndani ya hilo jengo.Kuna casino ipo diamond tower sijajua jina lake ,naikubali sana
umeanza vizuri mkuu....big up.baada ya kuweka picha ya zile casino,naona wanatoa udenda,wanatamani wavuke boda waje kula bata dar es salaam.Nawasubiri wakurupuke kwanza halafu niwaue.
Hapa bongo unakula kwa raha zako. Yaani pesa zako tu.umeanza vizuri mkuu....big up.baada ya kuweka picha ya zile casino,naona wanatoa udenda,wanatamani wavuke boda waje kula bata dar es salaam.
hii ndio dar es salaam,kitovu cha kula bata east africa.
nairobi unaingia club kupata starehe huku ukihofia kushambuliwa na alshabab au kutekwa na wakora.
there is no guarantee of security in Nairobi.
Inaitwa Premier CasinoKuna casino ipo diamond tower sijajua jina lake ,naikubali sana
Labda tungeanza na bar ndogo ndogo ndio wangekuja mbio. Unajua kwenye universities nilianza na chuo flani cha kawaida halafu nikaweka majengo mabaya. Duh!! Walikuja kwa kasi wakidhani vyuo vyote viko hivyo. Sasa tuliwapa za uso na wakatokomea kabisa.wakenya acheni uoga,wekeni hizo picha za sehemu zenu z starehe.
tunasubiri mjibu picha za casino ili battle iendelee.
Hahaha waanzie kwa kuwawekea picha za ukumbi wa darlive ulioko mbagara.labda watakuja.za ma-casino zinawaogopesha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda tungeanza na bar ndogo ndogo ndio wangekuja mbio. Unajua kwenye universities nilianza na chuo flani cha kawaida halafu nikaweka majengo mabaya. Duh!! Walikuja kwa kasi wakidhani vyuo vyote viko hivyo. Sasa tuliwapa za uso na wakatokomea kabisa.
Sasa hivi tumeanza na mziki mnene sijui kama watatokea.
Labda tungeanza na bar ndogo ndogo ndio wangekuja mbio. Unajua kwenye universities nilianza na chuo flani cha kawaida halafu nikaweka majengo mabaya. Duh!! Walikuja kwa kasi wakidhani vyuo vyote viko hivyo. Sasa tuliwapa za uso na wakatokomea kabisa.
Sasa hivi tumeanza na mziki mnene sijui kama watatokea.
Unafeli sasa mkuuLakini kwa vyuo vikuu tulishinda. Wasema nini bongolala wewe. Nairobi ina vyuo vikuu vingi kuliko Dar Es Salaam yote. Your universities look like high schools especially that University of Dar Es Salaam
Wewe mbona unataka kulazimisha ushindi? Tatizo wewe hujui hata kutumia mitandao. Halafu unajua search engine ya google tu. Jifunze kutumia mitandao. Pia tafuta web browser ya maana. Sio hizo za chrome zina limitation ya information.Lakini kwa vyuo vikuu tulishinda. Wasema nini bongolala wewe. Nairobi ina vyuo vikuu vingi kuliko Dar Es Salaam yote. Your universities look like high schools especially that University of Dar Es Salaam