Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante Annael kwa kuwakilisha nchi vizuri!ushindi ni wako brother.Na apo bado udom complex,nbaa bunju,IAA,Mbeya college,Tumaini dar& iringa,st.Augustine mwanza nk,nk,[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Sitaki wakenya sasa waanze kujibalaguza humu. Maana hii battle imeonesha mambo mengi sana. Kuna mambo mengi tu bado hatujayaongelea. Mf: Upatikanaji wa chakula, lifestyle, security nk
 
kenyans since you have been afraid to post photos,we have decided to do it for you.
 
Sitaki wakenya sasa waanze kujibalaguza humu. Maana hii battle imeonesha mambo mengi sana. Kuna mambo mengi tu bado hatujayaongelea. Mf: Upatikanaji wa chakula, lifestyle, security nk
Kwenye Security hapo ndyo daaah utawapiga bao!! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Si rahisi kupata kitu nairobi na ukikose dar es salaam (i've been in both cities na naishi dar sasa hivi) labda mlinganishe uzuri au ubora otherwise mnapoteza muda wenu na hamtakaa mfikie makubaliano

Hamna shule za kimataifa za kutosha,kubalini yaishe,East Afrika nzima mmekuwa mkisomea Kenya!...speak the truth even if your mouth shakes....😀😀😀😀
Hivi majuzi mmeanza kupata branches chache za shule za Kenya, hapo ni kabla hamjaingiwa kinyongo na kuwatimua walimu wa Kenya pamoja na Uganda.
 
haha naona na wana braeburn
 
Kha!! Hivi unaijua TZ au unaongea tu? International schools unazosema za level gani? Hebu jaribu kudadavua maana hueleweki.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Kenyans before u put ur city plan msisahau kuweka na ya Kibera
kibera ni just 2.5 sq km. Na iko because Nairobi is well planned so kuna some poor areas. Ata Cape Town has bigger slums then Dar. S
 
East African school of law yenye international standards ipo moja tu kwa ukanda huu,tena ipo Nairobi, juzi wameanza kuwazuia kujiunga mkapiga mayowe sana!
Toa upuuzi wako wewe? Unajua maana ya law school? Mwanasheria yupi wa tanzania kasoma kenya nitajie?
 
Sasa hizi taarifa mbona hazina hata mashiko. Mbona maneno meengi sana. Nyie wekeni vitu hapa then we compare. Sasa porojo zote hizo za nini. Mimi nawasubiri kwenye viwanja vya starehe. Hayo mnayoongea tumeshayaongea na tukamaliza. Kinachofuta sasa hivi ni starehe. Nimeweka club na casinos jaribuni kuweka na vya kwenu. Sio kutoa maneno meeengi.
 
Mkuu huwezi compare Nairobi na Dar. Compare Dar na Mombasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…