Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani hapa nimewaambia walete suggestion wamebaki kukodoa macho tu. Sasa hivi wanaleta mabwawa ya kuogelea. Sasa sijui wanafikiri hayo mabwawa hayapo tanzania au sijui kitu gani. Yaani wanajua wapo na vitu viwili tu.

Tihahahhaaaaa... acha kulialia... Danganyika bado sana. Keep going we want ti take you to the hilt. Bundlesiko, charge iko sawa, Generator on??? Google itakupatia picha. Zimwage zote.
 
Yaani hapa nimewaambia walete suggestion wamebaki kukodoa macho tu. Sasa hivi wanaleta mabwawa ya kuogelea. Sasa sijui wanafikiri hayo mabwawa hayapo tanzania au sijui kitu gani. Yaani wanajua wapo na vitu viwili tu.
Na wewe unafikiri kupost beach na bahari maji tupu ndio umezidi Nairobi? Kwa hiyo beach tuonyeshe resort itashinda hizo nakupatia, Nionyeshe resort kiwango cha Hemingways, Kempeski, Intercontinental, Hilton Nairobi! We are not interested with the beach, but what it offers!
 
Nenda kwenye pages za hotel ukaangalie maana tumetoka huko. Au mwenzagu umesahau!!?
 
kenyans stop embarrassing yourself by posting swimming pool photos cos they are not proving to be a big thing to us.we have many swimming pools in dar.

we're giving you another chance that you can use to prove nairobi is better than dar.

post anything unique that you think is not found/available in dar.
 
It's a missmatch Annael... hatuna battle na nyinyi... Standards zenu ni huko Mozambique.... Do that... and that should always get into your cabbage head.
shida moja mazee unarudia fly over tuu hadi inakera no new photo, mkiwa kwenye ishu ya burudani nyie mnachanganya na kuweka barabara na majengo ambayo hio section ishapita sijui ndo kuamua kuaharibu logic ama ndo nini.
 
See beyond your nose! Why are you posting oceans is the Ocean the city?
And why are your eyes seeing the swimming pools instead of seeing the whole resort or hotel?
Are your eyes skewed?
We are posting resorts in the city, not like you posting the ocean
 
shida moja mazee unarudia fly over tuu hadi inakera no new photo, mkiwa kwenye ishu ya burudani nyie mnachanganya na kuweka barabara na majengo ambayo hio section ishapita sijui ndo kuamua kuaharibu logic ama ndo nini.
Sasa ndio hivi mnaanza kuleta picha za Bahari? Kwani bahari ni city??
 
What is the city?
 
shida moja mazee unarudia fly over tuu hadi inakera no new photo, mkiwa kwenye ishu ya burudani nyie mnachanganya na kuweka barabara na majengo ambayo hio section ishapita sijui ndo kuamua kuaharibu logic ama ndo nini.

Na nyie mnarudiarudia PSPF hadi kero... Mwingine anasema inaonekana badi sydney... duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…