Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hapa nimewaambia walete suggestion wamebaki kukodoa macho tu. Sasa hivi wanaleta mabwawa ya kuogelea. Sasa sijui wanafikiri hayo mabwawa hayapo tanzania au sijui kitu gani. Yaani wanajua wapo na vitu viwili tu.
Na wewe unafikiri kupost beach na bahari maji tupu ndio umezidi Nairobi? Kwa hiyo beach tuonyeshe resort itashinda hizo nakupatia, Nionyeshe resort kiwango cha Hemingways, Kempeski, Intercontinental, Hilton Nairobi! We are not interested with the beach, but what it offers!Yaani hapa nimewaambia walete suggestion wamebaki kukodoa macho tu. Sasa hivi wanaleta mabwawa ya kuogelea. Sasa sijui wanafikiri hayo mabwawa hayapo tanzania au sijui kitu gani. Yaani wanajua wapo na vitu viwili tu.
Nenda kwenye pages za hotel ukaangalie maana tumetoka huko. Au mwenzagu umesahau!!?Na wewe unafikiri kupost beach na bahari maji tupu ndio umezidi Nairobi? Kwa hiyo beach tuonyeshe resort itashinda hizo nakupatia, Nionyeshe resort kiwango cha Hemingways, Kempeski, Intercontinental, Hilton Nairobi! We are not interested with the beach, but what it offers!
sasa hii ni town? Siungesema tulinganishe vijiji badala ya kutupotezea wakati?Bongoyo Island
View attachment 459228 View attachment 459230 View attachment 459231 View attachment 459232 View attachment 459233 View attachment 459234 View attachment 459235 View attachment 459236 View attachment 459237 View attachment 459238 View attachment 459239 View attachment 459241 View attachment 459242 View attachment 459243 View attachment 459244 View attachment 459245
Ooooh, huyu jamaa amenichanganya, kumaanisha sahi ni coast to coast sivyo?Chale Island and Kisite Mpunguti.... Enchanting..
View attachment 459246
View attachment 459248
View attachment 459249
View attachment 459250
View attachment 459251
Ooooh, huyu jamaa amenichanganya, kumaanisha sahi ni coast to coast sivyo?
shida moja mazee unarudia fly over tuu hadi inakera no new photo, mkiwa kwenye ishu ya burudani nyie mnachanganya na kuweka barabara na majengo ambayo hio section ishapita sijui ndo kuamua kuaharibu logic ama ndo nini.It's a missmatch Annael... hatuna battle na nyinyi... Standards zenu ni huko Mozambique.... Do that... and that should always get into your cabbage head.
See beyond your nose! Why are you posting oceans is the Ocean the city?kenyans stop embarrassing yourself by posting swimming pool photos cos they are not proving to be a big thing to us.we have many swimming pools in dar.
we're giving you another chance that you can use to prove nairobi is better than dar.
post anything unique that you think is not found/available in dar.
Sasa ndio hivi mnaanza kuleta picha za Bahari? Kwani bahari ni city??shida moja mazee unarudia fly over tuu hadi inakera no new photo, mkiwa kwenye ishu ya burudani nyie mnachanganya na kuweka barabara na majengo ambayo hio section ishapita sijui ndo kuamua kuaharibu logic ama ndo nini.
What is the city?See beyond your nose! Why are you posting oceans is the Ocean the city?
And why are your eyes seeing the swimming pools instead of seeing the whole resort or hotel?
Are your eyes skewed?
We are posting resorts in the city, not like you posting the ocean
shida moja mazee unarudia fly over tuu hadi inakera no new photo, mkiwa kwenye ishu ya burudani nyie mnachanganya na kuweka barabara na majengo ambayo hio section ishapita sijui ndo kuamua kuaharibu logic ama ndo nini.
Dar Vs Nairobi+Mombasa+Malindi!!!!