Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ati point to point.... Dude are you kidding me? Huwezi linganisha dar na Nairobi labda mombasa... You make me sick but even saying that
 
Ati point to point.... Dude are you kidding me? Huwezi linganisha dar na Nairobi labda mombasa... You make me sick but even saying that

Achana na hawa... They will just take you in cycles for no apparent point...
 
Kale kabarabara kama kutoka ubungo mpaka Mbagala
Ndio kila siku kelele!!!
 
alafu mkenya alimaliza namba 4 kwa miss world na mtanzania 98..ooh the irony
Hizo ligi ndizo mnazoweza kukimbia nazo. Lakini kwa hapa mmeshindwa mnabaki kulalama tu.
 
Kale kabarabara kama kutoka ubungo mpaka Mbagala
Ndio kila siku kelele!!!
Jamaa hawawezi. Sisi hapa tunaleta facts. Wamekimbia wanachungulia tu na kwenda. Kunammoja kajaribu kaona mziki mzito kakimbia bila kuaga.
 
Naona pizza apo... Najua ni 50,000 hiyo Haha
 
Nairobi 8 Dar 1...Ndukiiii....Hata Kampala inawatoa Jasho. Coming up KAMPALA CITY vs Dareslum.
 
Nairobi 8 Dar 1...Ndukiiii....Hata Kampala inawatoa Jasho. Coming up KAMPALA CITY vs Dareslum.
Now that one ntachangia na roho yangu yote.... Ati dar vs Nairobi.. Speechless
 
Nairobi 8 Dar 1...Ndukiiii....Hata Kampala inawatoa Jasho. Coming up KAMPALA CITY vs Dareslum.
There was a tz guy aliweka pic ya ocean, akasema Nairobi hakuna beach... I was like.. are you mad? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
This is a third rate resort...hakuna cha kujivunia hapa.karibu bamburi,shanzu,nyali,diani tukuonyeshe resorts ni nini
Sasa wewe unaongea maneno tu. Mbona huweki mambo humu. Ukiweka hizo na mimi nitaweka zipo kibao tu hapa dar. Hiyo ni moja tu.
 
Ni dharau... Sasa nikikuambia achana kulinganisha Nairobi na Takataka utapenda hivo??
Basi ngoja ni seme hivi usifananishe dar na upuuzi nadhani imekaa poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…