Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ati point to point.... Dude are you kidding me? Huwezi linganisha dar na Nairobi labda mombasa... You make me sick but even saying that
Hahaha !!!Wewe mtz unayeishi mbuga za wanyama za Saadani. Sasa maneno maneno ya nini si uweke picha tuone? Wale ambao hawajafika huko Nairobi watajuaje? Acha mbwembwe wewe.
Nawaona hapa wanakuja na malalamiko tu. Wakati ni wao jana waliomba hii ligi. Wanaleta maneno maneno tu.
Yaani mambo yao ni mawili tu:-
1. Barabara
2. Mbuga iliyo karibu na mji
Zaidi ya hapo hakuna.
Mimi nilitaka tuende point kwa point lakini nimewaona wameishia mitini. Wanaleta hadithi tu.
alafu mkenya alimaliza namba 4 kwa miss world na mtanzania 98..ooh the ironyKenya madem wana sura za kiume kama south Sudán
Now that one ntachangia na roho yangu yote.... Ati dar vs Nairobi.. SpeechlessNairobi 8 Dar 1...Ndukiiii....Hata Kampala inawatoa Jasho. Coming up KAMPALA CITY vs Dareslum.
There was a tz guy aliweka pic ya ocean, akasema Nairobi hakuna beach... I was like.. are you mad? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nairobi 8 Dar 1...Ndukiiii....Hata Kampala inawatoa Jasho. Coming up KAMPALA CITY vs Dareslum.
This is a third rate resort...hakuna cha kujivunia hapa.karibu bamburi,shanzu,nyali,diani tukuonyeshe resorts ni niniCheck Ramada Resort Hotel Dar es salaam.
View attachment 456155 View attachment 456156 View attachment 456157 View attachment 456158 View attachment 456159 View attachment 456160
Sasa wewe unaongea maneno tu. Mbona huweki mambo humu. Ukiweka hizo na mimi nitaweka zipo kibao tu hapa dar. Hiyo ni moja tu.This is a third rate resort...hakuna cha kujivunia hapa.karibu bamburi,shanzu,nyali,diani tukuonyeshe resorts ni nini
Get a life dude.. Sasa hiyo ni insultDar vs Nairobi + Mombasa
Vipi hapo maana najua mnaogopa.
Basi ngoja ni seme hivi usifananishe dar na upuuzi nadhani imekaa poaNi dharau... Sasa nikikuambia achana kulinganisha Nairobi na Takataka utapenda hivo??