Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Hizo bra bra hazina naface hapa. Kwani nani hajaishi Nairobi? Unadhani sisi hatuijui Nairobi?
Nimekwambia acha bra bra. Kama hujui kitu kaa kimya sisi tukuletee. Usijifanye mjuaji wakati hujui. Nimekwambi wewe leta references za Nairobi. Wewe unakuja na maneno ya siasa.
Je?
1. Nairobi kuna BRT?
2. Nairobi kuna Island?
3. Nairobi Kuna uwanja mkubwa wa Taifa?
4. Nairobi kuna fish market?
5. Nairobi kuna daraja kama la Nyerere?
6. Nairobi kuna beaches?
7. Vipi kuhusu hotel za Nairobi na za Dar?
Wewe unakuja na bra bra hapa. Tatizo huna exposure. Umetokea porini na kwenda Nairobi. Sasa umerudi dar na huja wahi hata kutembea zaidi ya kwenda kazini na kurudi nyumbani kwako.
Kwa haya maswali yako unatuaibisha watanzania hapa labda kama umri wako ni chini ya 18 utaeleweka. Ila kama umezidi hapo hata wanaokusapoti hapa watakuwa wanaona aibu