Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael, why dont u today show us the Dar highways, flyovers, footbridges, residential areas.
There is more to a good city than just skyscrapers!
 
Kazi ya watu wa Nairobi ni matusi hapa na midharau kaa mbuzi!! Sasa wivu na unafiki unawasumbua watu wa Nairobi kujisifia kumbe zero, Ati Mombasa na DAR wendawazimu kabisa huu, wameshindwa kuja na facts wanaleta maneno ya Khanga hapa.

Mada inajielezea hapo nini cha kufanya ila bado hata kusoma hawawezi kabisa wamekodoa tu, Annel niseme tu unanibariki sana tena sana tu kwa kuwa Mzalendo kwa Nchi yetu wengine hapa ni Bongolise ila sasa hata hawajui kwa nini ni Watanzania nonsense!!

More once again you Kenyans come here bring what you have in Nairobi and we do so then tutaangalia na kujifunza mengi katika haya majiji mawili. Sasa mnaachama nini leta facts mtushinde kwa facts siyo maneno ya Khanga alfu kujisifia kwimgi kumbe, haya mlikuwa mnayaganya miaka mitano iliyopita na sasa mseme tuone!!!
 
Annael, why dont u today show us the Dar highways, flyovers, footbridges, residential areas.
There is more to a good city than just skyscrapers!
We are talking about these down

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
 
Dar es Salaam Port connected with CCTV Camera
15258338772_7db25e1df2_b.jpg
Dar-es-Salaam-port-terminal.jpg
maxresdefault.jpg
tank.jpg

by the way,kenyans should behave well in this thread....I won't wait to troll you if you behave wrongly.be warned.
 
Fresh food from Kariakoo international Market
108_0386.jpg
483986daa8323289aac43fb1e14cd50ea1b0222d.jpeg
6261408293_a4831a1944.jpg
a customer weighing his balance at the market (Photo by Kenan Kalagho)6 (2).JPG
caption.jpg
Dar-es-Salaam-4-2.jpg
DSC_0165.JPG
img_0278-copy.jpg
katie-martin-at-kariakoo-market-recently.jpg
shopping-1-1024x490.png
 
Kazi ya watu wa Nairobi ni matusi hapa na midharau kaa mbuzi!! Sasa wivu na unafiki unawasumbua watu wa Nairobi kujisifia kumbe zero, Ati Mombasa na DAR wendawazimu kabisa huu, wameshindwa kuja na facts wanaleta maneno ya Khanga hapa.

Mada inajielezea hapo nini cha kufanya ila bado hata kusoma hawawezi kabisa wamekodoa tu, Annel niseme tu unanibariki sana tena sana tu kwa kuwa Mzalendo kwa Nchi yetu wengine hapa ni Bongolise ila sasa hata hawajui kwa nini ni Watanzania nonsense!!

More once again you Kenyans come here bring what you have in Nairobi and we do so then tutaangalia na kujifunza mengi katika haya majiji mawili. Sasa mnaachama nini leta facts mtushinde kwa facts siyo maneno ya Khanga alfu kujisifia kwimgi kumbe, haya mlikuwa mnayaganya miaka mitano iliyopita na sasa mseme tuone!!!
Yani hasira inakufanya uone wakenya wakitusi wabongo
 
now this what I call a punch to punch battle...so far Tanzanians have thrown 5 punches that hit straight to the target,while Kenyans thrown two punches that went off target. job well-done Tanzanians...vita iendelee[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Annael wakenya wanachungulia na kuondoka...wanaogopa kuingia ulingoni.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Tulisema badili uzi uwe Dar vs Mombasa! Hapo tutarejea! Badili tu halafu tutakuja, hata wewe ukitrol, that is your work, but we cant compare Nairobi to Dar period!
 
Tuache ubishi usio na tija, huwezi kulinganisha dar na Nairobi, labda dar tulinganishe na kisumu (mm ni mtz but sibishi kiashki majinuni)
Wewe mtz unayeishi mbuga za wanyama za Saadani. Sasa maneno maneno ya nini si uweke picha tuone? Wale ambao hawajafika huko Nairobi watajuaje? Acha mbwembwe wewe.
 
Annael wakenya wanachungulia na kuondoka...wanaogopa kuingia ulingoni.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nawaona hapa wanakuja na malalamiko tu. Wakati ni wao jana waliomba hii ligi. Wanaleta maneno maneno tu.
Yaani mambo yao ni mawili tu:-
1. Barabara
2. Mbuga iliyo karibu na mji
Zaidi ya hapo hakuna.

Mimi nilitaka tuende point kwa point lakini nimewaona wameishia mitini. Wanaleta hadithi tu.
 
Back
Top Bottom