Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Poa tu twende lile jukwaa letu pendwa achana na wa hapa bana
Poa wangu...ila hawa jamaa sio wa kuwaacha hivihivi.

kuna mda inabidi ujitoe ufahamu ili kuweka heshima sawa.....tayari nimesha wapuuza.
 
National Fibre Optic Cable network (NICTBB)
View attachment 456031


TTCL Internet 4.5G in Dar es salaamView attachment 456032 View attachment 456033 View attachment 456034 View attachment 456035

Ahsante sana Nbi bado wako 3.75 G yani tumewaachia vumbi tu

a8356dbed45b9e67610eadbb8b9e7616.jpg
83a4be588531f3ef9d4eda24a0e34a53.jpg
ed85f6245d188fa1059c42d44b4c5c1e.jpg
703d1a29d91caeb2c256955a81935b88.jpg
78917ee9f98a1a5e43ed3b6417339666.jpg
b63618c8d9389ce4036779d04603c9ee.jpg
d4895d6f46fa958e2b1c2595790e79e9.jpg
705b6cc140992cd0245052304d2777ab.jpg
7e7ac9892424c6bdde38d89ecd05ef8a.jpg
2d6f88aa2a1e8bdaf63e27779bda967c.jpg
1a27ec4231e7df95202ee09fd6f4b00a.jpg
9e67b7c8fd5b070e5c66e2cf89ef0ff1.jpg
354d044c2d1c342264e02484adf1c355.jpg
a88c4254245f7be7dabf8bc817469fc4.jpg
cc137efe7ff7d40240074e548e003358.jpg
ea32648ade37f4add254cecfd16309f7.jpg
1686ee601f7125236790ff5983f6d6b8.jpg
a11c3f4c12b8a16da2ef0d531e03aa92.jpg
 
Nairobi wamesonga mbele zaidi... While you were trying to catch up with NRB, Kampala and Mombasa Vroomed past you...... Try Mwanza now.
 
OOOOH! Now I know you guys just love to compare yourselves with us, maybe to console yourselves that you are close. After we beat you in a thread you sensationally come up with another one, We are better than you in every possible way and you know it. Maybe this thread will make you happy for a moment but after several posts you will open another one. I am sure it is not your memory. We have like 10 threads already showcasing this things.

After we beat them, They will start Dar vs Mombasa, We whitewash them, They start Dar es salaam vs Kenya, We Make them powder cake, they abuse us left, right and centre,We sleep,, Then they wake up with Kenya ahead of them and they get Jittery year in year out....... Danganyika Shikamoo
 
Hahaaa eti msifanishe Nairobi na vitu vyahajabu hahaaa sikia wewe usofananishe DAR na jiji la wasenge. Dar ata kidogo Huwezi kuifana nisha na old city NAIROBI.Nairobi aina kipya kwa sasa dar ndompango mzima. jiji la NAIROBI Lina watu makatiri sana wenye roho ngum kama mgongo wa kobe hahahaa karibu DAR Ulale na kuamka kwahamani sio NAIROBI unaofia Harshababu na hamini hukija DAR ya makonda huta zamia tu.tena uta zamia mazima uto ruditena NAIROBI

Hicho ni Kiswahili ulichokiandika hapo ama ni Kisukuma?
Eti mnajidai mitanzania na Kiswahili, wapi na wapi?
Aibu tupu!
 
Hahahahah!...pole zenu, mpaka mnatumia Bahari kama kigezo?, mbona mnawaibisha waTz wenzenu wenye akili angalau?
HAHAHAHAHAH!

Labda mgelinganisha na Mombasa huko kuna Bahari.
Pole zenu ,nishasema uzi huu hauna mantiki yoyote, ufungwe walakin huyo Annal nadhani ni mwanafunzi wa darasa la saba hivi hapo Unyamwezini.
Oya nyie wakenya mbona mnajichetua sana. Hahahaha tumejaribu kwenda point kwa point sasa hivi mmeanza matusi na kutukana ovyo ovyo. Tumeana battle sasa hivi mnalialia na kukenua kenua meno kama vichaa.

Dar es salaam pambano lake ni lazima uuganishe Nairobi na Mombasa.
 
Naii kuzuri kuliko Dar, ila waulize kwa nini wanapapenda sana Dar na Tz kwa ujumla kuliko kwao
 
Huyo ni illegal immigrant amejificha Kenya kuiikimbia njaa na umasikini wa kutisha kule kwao Tanganyika.
Mhamiaji haramu huyo, nahisi huenda ni wale ombaomba wanaoendeleza kero mitaani hapo Kenya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hahahahah!...pole zenu, mpaka mnatumia Bahari kama kigezo?, mbona mnawaibisha waTz wenzenu wenye akili angalau?
HAHAHAHAHAH!

Labda mgelinganisha na Mombasa huko kuna Bahari.
Pole zenu ,nishasema uzi huu hauna mantiki yoyote, ufungwe walakin huyo Annal nadhani ni mwanafunzi wa darasa la saba hivi hapo Unyamwezini.
[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]
 
Oya nyie wakenya mbona mnajichetua sana. Hahahaha tumejaribu kwenda point kwa point sasa hivi mmeanza matusi na kutukana ovyo ovyo. Tumeana battle sasa hivi mnalialia na kukenua kenua meno kama vichaa.

Dar es salaam pambano lake ni lazima uuganishe Nairobi na Mombasa.
annael,mida ya lunch nitaanza kuweka zile screenshots za maudhi wasizopenda wakenya.

hahahaha huwa nasikia furaha sana kuwachokoza wakenya. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Poa wangu...ila hawa jamaa sio wa kuwaacha hivihivi.

kuna mda inabidi ujitoe ufahamu ili kuweka heshima sawa.....tayari nimesha wapuuza.


Hakuna atakayekuheshimu kwa maandishi kama haya,ni kujidhalililisha tu.
 
Back
Top Bottom