Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hilton.PNG
cpftower.PNG
 
Attachments

  • cpftower.PNG
    cpftower.PNG
    155.3 KB · Views: 32
relaxx, picha ninazo ni nyingi
Wewe kama unataka kutuharibia thread yetu. Tutakufanyia kitu hapa wewe endelea sasa. Kama mmshindwa mseme sio kuanza kuharibu. Hizo picha tayari zimeshawekwa na sisi tuliweka zetu. Au unataka tukupige T moja?
 
Unataka picha za ni nini??
 
Alete vya dsm sasa, bagamoyo inaingiaje? Au kuna island dsm inaitwa bagamoyo?
kwa hiyo bongoyo island ipo bagamoyo?...hivi upo vizuri kichwani kwako kweli?.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
50860025b035338506cd93eac9f7cb83.jpg
 
Wewe kama unataka kutuharibia thread yetu. Tutakufanyia kitu hapa wewe endelea sasa. Kama mmshindwa mseme sio kuanza kuharibu. Hizo picha tayari zimeshawekwa na sisi tuliweka zetu. Au unataka tukupige T moja?

Tulia sindano ikuingie, mbona unaanza kujambajamba?.....😀😀😛
 
Unataka picha za ni nini??
Battle ni kwenye sehemu za starehe. Mimi nimeweka Casinos na Club. Twende battle ya hivyo. Maana unayoweka tayari yameshawekwa hapa itakuwa ni kuwachosha wanaofuatilia hii thread.
 
haha naona na wana braeburn

Nashangaa, matajiri wao waliopata bahati nasibu kusomea Kenya enzi zile walisomea shule kama hiyo Braeburn, hawajui hata kilianzia wapi hahahha!.....hata hicho Kampala International Uni. na mengine mengi tu!..hahahahah!
 
Hapa bla bla bla watuzihitaji. Maneno meeengi kama mtumbuliwa jipu. Wewe ingia kwenye battle sio maneno maneno.
 
Nashangaa, matajiri wao waliopata bahati nasibu kusomea Kenya enzi zile walisomea shule kama hiyo Braeburn, hawajui hata kilianzia wapi hahahha!.....hata hicho Kampala International Uni. na mengine mengi tu!..hahahahah!
blabla plus povu = mvua ya maneno.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]
 
Annael endelea kutuwekea picha za viwanja vya bata dar.

achana na huyo Mkenya anayejisumbua kupost picha za sky view.huko tulishapita na tuliwachapa fimbo za kutosha.
 
Nashangaa, matajiri wao waliopata bahati nasibu kusomea Kenya enzi zile walisomea shule kama hiyo Braeburn, hawajui hata kilianzia wapi hahahha!.....hata hicho Kampala International Uni. na mengine mengi tu!..hahahahah!
Tanzania wanaishi vichakani na wanapiga kelele hapa
 
Annael endelea kutuwekea picha za viwanja vya bata dar.

achana na huyo Mkenya anayejisumbua kupost picha za sky view.huko tulishapita na tuliwachapa fimbo za kutosha.
Ngoja nimshikishe adabu kwanza.
 
Back
Top Bottom