lelooo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 422
- 364
kiukweli dar na nairobi ni miji miwili ikiyopo ukanda mmoja ambayo inafanana na pia haitofautiani sana,kama unazungumzia utofaut kuna vitu dar inaizidi nairobi ivo pia nairobi kuna vitu yaizid dar.
nairobi yaizidi dar kwa mfumo wa barabara haswa fly overs zipo nyingi dar ipo moja interchange ya nyerere bridge na nelson mandela road.ukija kwa wingi wa majengo mapya dar yaizid nairobi kwa sababu majengo marefu mengi ya kenya ni ya kizamani lakin saiv anga la dar limejaa majengo mazuri tofaut na nairob