Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kiukweli dar na nairobi ni miji miwili ikiyopo ukanda mmoja ambayo inafanana na pia haitofautiani sana,kama unazungumzia utofaut kuna vitu dar inaizidi nairobi ivo pia nairobi kuna vitu yaizid dar.
nairobi yaizidi dar kwa mfumo wa barabara haswa fly overs zipo nyingi dar ipo moja interchange ya nyerere bridge na nelson mandela road.ukija kwa wingi wa majengo mapya dar yaizid nairobi kwa sababu majengo marefu mengi ya kenya ni ya kizamani lakin saiv anga la dar limejaa majengo mazuri tofaut na nairob
 
Water World
0.jpg
2013-10-05.jpg
2016-03-28.jpg
2016-08-06 (1).jpg
2016-08-06.jpg
2016-10-04.jpg
2016-10-10 (1).jpg
2016-10-10 (2).jpg
2016-10-10 (3).jpg
2016-10-10 (4).jpg
2016-10-10 (5).jpg
2016-10-10.jpg
2016-11-12.jpg
2016-12-22.jpg
 
Nadhani kwenye mambo ya kula bata wana Nairobi wamenyosha mkono. Naomba tusiwatese zaidi. Nadhani sasa tuje kwenye mambo ya Security.
Au mnasemaje ndugu?
 
Nadhani kwenye mambo ya kula bata wana Nairobi wamenyosha mkono. Naomba tusiwatese zaidi. Nadhani sasa tuje kwenye mambo ya Security.
Au mnasemaje ndugu?
No no no plz..tusiingie huko kwenye swala la security.tutawatoa machozi ndugu zetu wakenya.

upande wa usalama wakenya wana record mbaya, tutawashinda ndani ya dakika mbili za mwanzo baada mpambano kuanza.nairobi is not safe at all.
 
The last time I checked. Tanzania is one of the poorest countries in Africa an the world... Still it is one of the least developed countries in Africa.... Soo mnatuma picha kutuonesha nni...... Kenya iko level ingine.... And AL keep saying that over and over again till it sticks inside your brains that is if you have... Tanzania level of education iko down so I won't blame you... If dar is the most populated city in Africa an considering how dar iko poor planned... Imagine how bad it looks.. Hata tukiwa na kibera bado hamtufikii an ur all over this thread mkifananisha Nairobi na dar Hahaha ur sick
 
Annael bado sijaona viwanja vyangu vya bata.
samaki samaki mlimani city/Posta town,escape one,Capetown fish market na club elements.
 
No no no plz..tusiingie huko kwenye swala la security.tutawatoa machozi ndugu zetu wakenya.

upande wa usalama wakenya tutawashinda ndani ya dakika mbili za mwanzo baada mpambano kuanza.nairobi is not safe at all.
Tuje basi kwenye mambo ya Internet connection.
 
The last time I checked. Tanzania is one of the poorest countries in Africa an the world... Still it is one of the least developed countries in Africa.... Soo mnatuma picha kutuonesha nni...... Kenya iko level ingine.... And AL keep saying that over and over again till it sticks inside your brains that is if you have... Tanzania level of education iko down so I won't blame you... If dar is the most populated city in Africa an considering how dar iko poor planned... Imagine how bad it looks.. Hata tukiwa na kibera bado hamtufikii an ur all over this thread mkifananisha Nairobi na dar Hahaha ur sick
Kwikwikwikwi. Ndio unavyodanganywa na wazungu wako?
Hapa chini ni picha ya Nairobi ambao wajiita ni tajiri. Sisi hapa bongo huwezi kuta ujinga huo.
Kids-in-Kibera.jpg
 
Kenya tumo mbioni.6 towers,same venue.Avic International Africa Headquarters.Taller than ever and even your pathetic tpa or pspf or mnf can touch the pair.
residential site

31353580973_2b88a55101_b.jpg

31322569934_403af55cd4_b.jpg

31789122530_3b23a7aa0b_b.jpg

31322509014_5e3667bb32_b.jpg

32163993455_d495d78bda_b.jpg

32163964195_d360174d99_b.jpg

__________________
residential site

31353580973_2b88a55101_b.jpg

31322569934_403af55cd4_b.jpg

31789122530_3b23a7aa0b_b.jpg

31322509014_5e3667bb32_b.jpg

32163993455_d495d78bda_b.jpg

32163964195_d360174d99_b.jpg

__________________
residential site

31353580973_2b88a55101_b.jpg

31322569934_403af55cd4_b.jpg

31789122530_3b23a7aa0b_b.jpg

31322509014_5e3667bb32_b.jpg

32163993455_d495d78bda_b.jpg

32163964195_d360174d99_b.jpg

__________________
 
The last time I checked. Tanzania is one of the poorest countries in Africa an the world... Still it is one of the least developed countries in Africa.... Soo mnatuma picha kutuonesha nni...... Kenya iko level ingine.... And AL keep saying that over and over again till it sticks inside your brains that is if you have... Tanzania level of education iko down so I won't blame you... If dar is the most populated city in Africa an considering how dar iko poor planned... Imagine how bad it looks.. Hata tukiwa na kibera bado hamtufikii an ur all over this thread mkifananisha Nairobi na dar Hahaha ur sick
these are the same words i have been hearing kenyans speaking since 2011 after i joined jf.

sorry man,this is 2017,things have changed.

hii manenos haiko na nafasi siku hizi.picha zetu zimeprove kuwa dar ipo juu.
 
Kenya tumo mbioni.6 towers,same venue.Avic International Africa Headquarters.Taller than ever and even your pathetic tpa or pspf or mnf can touch the pair.
residential site

31353580973_2b88a55101_b.jpg

31322569934_403af55cd4_b.jpg

31789122530_3b23a7aa0b_b.jpg

31322509014_5e3667bb32_b.jpg

32163993455_d495d78bda_b.jpg

32163964195_d360174d99_b.jpg

__________________
residential site

31353580973_2b88a55101_b.jpg

31322569934_403af55cd4_b.jpg

31789122530_3b23a7aa0b_b.jpg

31322509014_5e3667bb32_b.jpg

32163993455_d495d78bda_b.jpg

32163964195_d360174d99_b.jpg

__________________
residential site

31353580973_2b88a55101_b.jpg

31322569934_403af55cd4_b.jpg

31789122530_3b23a7aa0b_b.jpg

31322509014_5e3667bb32_b.jpg

32163993455_d495d78bda_b.jpg

32163964195_d360174d99_b.jpg

__________________
Huko tulishatoka siku kama mbili zilizopita na jibu lake ni hili hapa chini kutok 711 Kawe
Kwahiyo hiyo haina hata mashiko.
K1.jpg
K711.JPG
K7112.JPG
K7113.JPG
 
New Dubai lands in Nairobi,the only prestigious fountain of world class in Africa......Only in Nairobi see the video1
EE5Stoc.jpg

CGSlyXu.jpg

Laser fountain
9gAlYn8.jpg
__________________
__________________
 
Back
Top Bottom