Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna movie theatres, Kuna karaoke n.k. Ama unataka tupost vilabu watu wakidance??Starehe gani. Wewe umesema shopping mall. Basi yaweke tuone huwa mnafanya starehe gani kwenye shopping mall. Maana wakenya akili zenu hazipo sawa kwa sababu ya chang'aa.
umeamua kujifariji.Dar imepata kichapo cha mbwa hohoho!!
Sasawa nitapostWewe post clubs na movie theaters. Mbona unaweweseka?
Mungiki is a dead case na Al Shabaab tuko na intelligence enough ya kudeal na wao.naona wakenya wanatulazimisha kutuwekea picha za majengo wakati huko kwenye mjadala wa kupost view ya mji tulishapita.
nadhani sasa ni muda muafaka wa kuangazia suala la usalama kati ya dar na nairobi.
let's post contents that are connecting with security issues hence evaluate which city is in better position of guaranteeing its people maximum security.
annael twende kazi.Mimi naanza kama hivi. latest update![]()
Kwikwikwikwi. Ndio unavyodanganywa na wazungu wako?
Hapa chini ni picha ya Nairobi ambao wajiita ni tajiri. Sisi hapa bongo huwezi kuta ujinga huo.
View attachment 458280
Yeah, si hawa jamaa wakubali EAC iwe nchi moja. Angalu watasema Nairobi iko East Africa Federation
Yupo mtu wa kukushughulikia wewe.Kwikwikwikwi For a country that has been growing at 7.2% for the last 15 years... You expect it to be largest Economy in the world...... Cooked figures.... Kwikwikwikwi
View attachment 458312
Mimi nataka infrastructure, si watu wakiimbaHalafu wanapenda kulinganisha Nairobi na vitu vya ajabu