NYANYADO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 3,804
- 2,482
Ndio mini hiyoAcha Usukuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mini hiyoAcha Usukuma
The Battle is Dar es salaam vs Nairobi.
Na wewe utaweka vitu ambavyo vipo Nairobi Dar havipo. Sawa? Tayari mmeshaweka mbuga yenu na Barabara yenu. Kama kuna kingine waweza weka.
Omera, hiyo manzi ya Kenya we endelea nayo tu, mie wala Sikunyanganyi, ila mwafaaaa ndio itakuondoaOoyaa nyanado VP mbona unataka kunipora huyo manzi wangu wa kikenya?.kama VP tukubaliane nikuachie.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
The thread is about Dar es salaam vs Nairobi.STOP YOUR FIXATION. WHERE ON EARTH CAN YOU COMPARE A COASTAL CITY AND AN INLAND CITY. ACHA KUWA MTOTO WA CLASS ONE. IT IS DAR VS MOMBASA, NAIROBI VS DODOMA.... ... UNALIALIA NINI HAPA
The thread is about Dar es salaam vs Nairobi.
Kwanini mlikubali battle hiyo wakati mnajua kwamba Dar is a costal city?
Anzisha thread sasa ya Nairobi vs Dodoma. You have to show us which is in Nairobi but not in Dar es salaam. This is very simple arithmetic. Now am showing you which is in Dar but not in Nairobi.
Beach za Nairobi ni Hizi hapa.
nairobi inaongoza kwa kuwa na beach zenye matope.Beach za Nairobi ni Hizi hapa.
kwenye mademu hawatukuti kabisaaa, am a Tanzanian married to a Kenyan and we are living in Nairobi, wana mademu wabayaaa, hawajui kuvaa, usafi ndio zeroooo, mmmhhh msifananishe mademu wa kibongo na vitu vya ajabu jamoniii
Alafu wewe mwenyewe ukawaacha hao wazuri wa Tz ukamuoa Mkenya? Kweli nyinyi watu wa "Nairobi napajua vizuri sana" mwachekesha.
alafu kwa miss na mr world 2016 kenya ilimaliza top 5.....hebu nikumbushe tanzania na huo urembo wote mlimaliza namba ngapi?kwenye mademu hawatukuti kabisaaa, am a Tanzanian married to a Kenyan and we are living in Nairobi, wana mademu wabayaaa, hawajui kuvaa, usafi ndio zeroooo, mmmhhh msifananishe mademu wa kibongo na vitu vya ajabu jamoniii
Kama wewe mwanaume Anzisha Battle ya United Republic of Tanzania vs Kenya katika kila idara zote.
endelea kushusha vitu kamanda.tuliwapa nafasi siku nzima ya Leo,walishindwa kuitumia vizuri kuweka picha wakaitumia kupiga umbeya.Protea Hotel by Marriott Dar es Salaam Amani Beach
View attachment 459100 View attachment 459101 View attachment 459102 View attachment 459103 View attachment 459104 View attachment 459105 View attachment 459106