Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania hakuna binaadamu anaishi nyumba ya bati inamaana hata kujenga kwa tope imeshindikana haahaha alaf Nairobi is 3.5 it means 2.5m wako kibera ahahahhahaha aise duhhhh wageni wamejaa kushika uchumi wote wakenya wazawa wakenya ndio wako kibera hhahhahaha
Bado yapo Maslum mengine
ikiwepo Kakuma, mathare, Matopeni Nk nk
full slum
hawa niwakuhurumia tu
 
Mafia Island [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG]: The ‘Undiscovered’ Alternative To Zanzibar

Called “mahali pa afya” in Swahili, meaning “a healthy dwelling place,” Mafia Island is a tiny island with a prominent place in the history of East Africa and some of the best diving along the Tanzanian coastline.
FB_IMG_1489174591629.jpg
FB_IMG_1489174597688.jpg
FB_IMG_1489174594857.jpg
 
nafarijika sana kuona kizazi kipya cha vijana machachari wa kitz kama ichoboy01 , Annael et al wakiwatoa jasho wakenya ktk subsection ya kenya forum.
keep up the good work guys.

sisi wengine siku hizi tumekuwa busy na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa.
tunakosa mda wa kutosha kukanusha uzushi wa wakenya dhidi ya Tz kama tulivokuwa tukifanya hapo awali.

ila tunafarijika sana kuona vijana mmejawa morali na nguvu mpya kupambanua hila, uzushi na habari za kijinga za hawa washenzi waliojawa chuki na wivu dhidi ya mama Tz.

asanteni sana.
 
Hii ndio hotel amber resort unguja tanzania ambayo cost yake ni 1billion dolla, Kenya munaweza hio hahahahhaha...under construction
FB_IMG_1489044271785.jpg
FB_IMG_1489044274741.jpg
FB_IMG_1489044281253.jpg
 
Nairobi Kenya
8da12325f953784a4c0b1adc8330fa53.jpg
3c2e89e93e17258842e806b2f14b83f3.jpg
Hahahahahahaha! Hiv motochini uwaga unatumia killing machine ya aina gan..!? AK 47, SMG, LMG, G3, M15 au RPG....!? Mbona huwa haukosei target..!? Kila ukipiga mikenya himo, kila ukipiga himo..!! Ebana we've 2giv ya a field marshal belt aisee! Hauna masihara wewe!!
 
Fumba hotel in hotel 5 star inayojengwa na azam bakhresa unguja tanzania ni hotel inayojengwa juu ya bahari maana yake wanafukia bahari na cost yake ni 300 million dollar na iko under construction
Bird_View_render.jpg
 
wakenya nyie ni ndugu zetu tunawapenda sana coz sisi wabongo hatunaga hiyana wala vinyonyongo sisi ni wakarimu lakini mkitutibua ndyo tunawekana sawa kimya kimya cha msingi msijione kama nyie ni bora zaidi kwenye ujenzi wa taifa kila taifa linafanya maendeleo yake kwa upande wake....nyie vitu vyenu vya contruction mmevianika tofauti na sisi hvyo hamuwezi pata taarifa rasmi kama sis twapanga nini na twajenga vitu vingap na vitakamilika lini....mtajua mpaka sis tuwape taarifa na hata mkijua mtajua robo ya vitu....




jaman wakenya DAR maisha ya jiji kimipango yanaendelea kama jinsi ninyi mnavyoendelea hatuja stuck.......
DAR ni new york ifuatayo
 
Dar es salaam ina Rc Bashite mwenye Bonge la Ofisi la kisasa haijapata kutokea east and central Africa.
 
Nairobi Kenya

Usiniulize hapa kijijini au la!
Hapa ni Jijini Nairobi
hizi ndizo Nyumba za wakenya halisi
Wapatao milioni mbili na nusu
2.5ml[emoji85] [emoji85] [emoji85]
20f7ae0e9470b520e45a00ba27342ee2.jpg
bc524ada25a46741a6425b217bb6639f.jpg
Motochini inabidi tuwatafutie picha za manzese na tandale ya leo 2017 ili wajua we got a bullet speed in development 1000X than em mofo'...!! Kenyan wanatia huruma jamani..!! # A Real nairobian is from kibera [HASHTAG]#kenyan[/HASHTAG]!![emoji818]
 
mi napendekeza ....tuje na picha zao za mazingira mabovu ya nairobi na wao waje na picha za mazingira yetu mabovu hafu tulinganishe wapi kwenye unafuu....
 
IMG_20160910_122149.jpg
images (2).jpg
images (1).jpg
images.jpg
download.jpg

few pics ya interior sections of new terminal 3 Julius nyerere int airport na ikikamilika ndio itakua the modern in east and central africa na itaweza Ku handle 6mil passengers annually while termina 2 will handle 3.5mil passengers annually and terminal 1 will handle 1.5mi passengers annually
 
Fumba hotel in hotel 5 star inayojengwa na azam bakhresa unguja tanzania ni hotel inayojengwa juu ya bahari maana yake wanafukia bahari na cost yake ni 300 million dollar na iko under constructionView attachment 479357
Kama mambo ya kupost umeishiwa si uache tu, sasa hii mambo ya tuta.....ita... ujinga gani huu! Weka picha achana na renders.
 
Back
Top Bottom