Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamani ki ukweli Mimi ni mtanzania wa asili kabisa lakini Hii battle ya Nairobi na Kenya ni Rahis Mno na huu ndo mtazamo wangu....

Nairobi ipo mbali Sana kuliko Dar katika Nyanja za uwelewa wa kimaisha

Kuhus madhari ya Haya majiji mawili Bado Nairobi ipo mbali sana
asante kwa mchango wako.karibu tena.
 
Y
Umeona nyumba inayofanana na kibera hapo slum hapo hizo blocks my friend usiwe kma kicheche

I can see u are very content with this state of affairs in your city.Rotten infrastructure all around the city. "At least it's not like Kibera", so u console yourselves Good for you!

Manzese
4ut26ewnak0.jpg


Kibera

Kibera_aerial_view_western_part.jpg


Wapi tofauti kubwa kati ya hizo mitaa mbili?

Kwa maoni yangu, mimi kwenye picha hilo la kwanza ni kana kwamba huo mtaa wa mabanda umezingira mji mzima, ilhali kwenye picha ya pili, huo mtaa upo kwenye eneo ndogo tu, na umezingirwa na mitaa poa poa.
 
Jamani ki ukweli Mimi ni mtanzania wa asili kabisa lakini Hii battle ya Nairobi na Kenya ni Rahis Mno na huu ndo mtazamo wangu....

Nairobi ipo mbali Sana kuliko Dar katika Nyanja za uwelewa wa kimaisha

Kuhus madhari ya Haya majiji mawili Bado Nairobi ipo mbali sana
Asante!!!!!!!!!

ichoboy01
 
Uki
Jamani ki ukweli Mimi ni mtanzania wa asili kabisa lakini Hii battle ya Nairobi na Kenya ni Rahis Mno na huu ndo mtazamo wangu....

Nairobi ipo mbali Sana kuliko Dar katika Nyanja za uwelewa wa kimaisha

Kuhus madhari ya Haya majiji mawili Bado Nairobi ipo mbali sana
Ukitaka kujua huyu mkimbizi hebu msikizini alioyasema anaona Nairobi na Kenya ni rahisi mno someni vzr hehehhee kuchachawa kubaya
 
I can see u are very content with this state of affairs in your city.Rotten infrastructure all around the city. "At least it's not like Kibera", so u console yourselves Good for you!

Manzese
4ut26ewnak0.jpg


Kibera

Kibera_aerial_view_western_part.jpg


Wapi tofauti kubwa kati ya hizo mitaa mbili
Haha ww huna macho kweli utafananisha hapo alaf kibera hujaimaliza ngoja mm nikuoneshe kibera ilivo wacha hizo my friend
A-view-of-Kibera-Slums.jpg
kibera.jpg
 
Kibera nyumba za matope jahaha manzese hakuna nyumba ya matope my friend hakuna nyumza za mabati huku nyumba za block u can't compare kibera is a biggest slum in the world my friend hahahhaa usiende speed tulia
 
Haha ww huna macho kweli utafananisha hapo alaf kibera hujaimaliza ngoja mm nikuoneshe kibera ilivo wacha hizo my friendView attachment 480974 View attachment 480975
Macho yangu yananielezea kuwa katika picha la kwanza ni kana kwamba huo mtaa wa mabanda umezingira mji mzima

4ut26ewnak0.jpg


ilhali kwenye picha ya pili, huo mtaa upo kwenye eneo ndogo tu, na umezingirwa na mitaa poa poa.

Kibera_aerial_view_western_part.jpg
 
Hip ndio kibera wacha kujifanya hujui

Kibera Facts & Information
There are approximatly 2.5 million slum dwellers in about 200 settlements in Nairobi representing 60% of the Nairobi population and occupying just 6% of the land. Kibera houses about 250,000 of these people. Kibera is the biggest slum in Africa and one of the biggest in the world.

Land Ownership
The Government owns all the land. 10% of people are shack owners and many of these people own many other shacks and let them out to tenants. The remaining 90% of residents are tenants with no rights.

Housing
The average size of shack in this area is 12ft x 12ft built with mud walls, a corrugated tin roof with a dirt or concrete floor. The cost is about KES 700 per Month (£6). These shacks often house up to 8 or more with many sleeping on the floor.

The population
The original settlers were the Nubian people from the Kenyan/Sudanese border – they now occupy about 15% of Kibera, are mostly Muslim and are also mostly shack owners. The other shack owners are mostly Kikuyu (the majority tribe in Nairobi) – although in most cases they do not live there but are absentee landlords. The majority of the tenants are Luo, Luhya and some Kamba – these people are from the west of Kenya. There are many tensions in Kibera, particularly tribal tensions between the Luo & Kikuyu, but also between landlord and tenant and those with and without jobs.

Electricity
Only about 20% of Kibera has electricity. UN-Habitat is in the process of providing it to some parts of Kibera – this will include street lighting, security lighting and connection to shacks (this costs KES 900 per shack, which in most cases is not affordable).

Water
Until recently Kibera had no water and it had to be collected from the Nairobi dam. The dam water is not clean and causes typhoid and cholera. Now there are two mains water pipes into Kibera, one from the municipal council and one from the World Bank. Residents collect water at KES 3 per 20 litres.

Sewage
In most of Kibera there are no toilet facilities. One latrine (hole in the ground) is shared by up to 50 shacks. Once full, young boys are employed to empty the latrine and they take the contents to the river. UN-Habitat and a few other agencies are trying to help and improve this situation but it is painfully slow.

Medical facilities and HIV/AIDS Clinics
In Kibera there are no government clinics or hospitals. The providers are the charitable organisations: AMREF, MSF, churches plus some others. They do a great job. All people are encouraged to have a free HIV test and if positive to take free generic ARV medicine.

Changaa
This is cheap alcoholic brew. It is widely available, very strong (over 50% alcohol) and made incorrectly, so is usually very high in Methanol. The cost is only KES 10 per glass and after a couple of glasses people become very drunk. With over 50% unemployment in Kibera many start drinking early in the morning leading to problems of violence, crime, rapes etc. Several charities are trying to help by showing the Changaa makers how to make the drink less dangerous.

Drugs
Cheap drugs and glue sniffing are an increasing problem. Initially taken to alleviate boredom but then people find themselves hooked. A big challenge to the charities!

Abortion
Due to many men still not using condoms and the availability of Changaa, many girls become pregnant, at any one time about 50% of 16 to 25 yr old girls are pregnant. Most of these pregnancies are unwanted, resulting in many cases of abortion. This can be very dangerous, particularly in such a poor area as Kibera. Many charities are working on this problem.

Unemployment
Kibera is near the industrial area of Nairobi where up to 50% of the available workforce are employed (usually in fairly unskilled jobs). However, there is still an unemployment rate of 50%. This is why the training and teaching of skills is very important.

Sport
Most young people in Kibera have nothing to do, obviously it is better for them to have the opportunity to take part in sport and several organisations are working on this.

Nairobi Slum Survey
The African Population and Health Research Center (APHRC) produced a report which provides many different statistics relating to the slums of Nairobi, including facts about Kibera. You can download the 212 page here:
* ‘Report of the Nairobi Cross-sectional Slums Survey

SUMMARY FINDINGS
Kibera needs land/tenancy rights, housing, water, electricity, health clinics, education, employment, security plus much more. All these issues are being addressed to a lesser or greater extent by many organizations including the Churches, UN-Habitat, MSF and AMREF etc. Money is finding its way through from many international organizations including Gates Foundation, Bill Clinton Foundation, all the well known charities and of course the churches both in Africa and internationally. However, money cannot help without people to direct it – all the organizations require assistance. They all need intelligent, keen, willing, and compassionate people to help.

In the western world it has become common for many students to take a Gap Year out before or after university. More mature people are also now taking a year out, away from their everyday life. Many could work in Kibera where they would achieve a real sense of doing some good. Kibera is crying out for people to help.
 
Sawa watz, lakini hebu pia tuonyesheni vitu sampuli hii......kweli mkiwa na hivi mavitu, sisi hapa Kenya tutawaheshimu baraabara.
Lakini as long as bado mko hiovi hivi, mkichest thump ilhali kimiundo mbinu bado mko chini yetu, madharau kutoka kwetu bado mtaendelea tu kuzipata! Kenya ndio nchi ambayo imeendelea zaidi kwenye kanda hili, mkatae mkubali shauri zenu, ukweli bado utabakia pale pale.

Tuanze na eneo ya makaazi


ichoboy01 1 amekuwa akizungumzia kibera kila mara, hili hapa ni mtaa wenyewe wajengwa upya. Ipe kama miaka mitano-kumi hivi
4lrxyHO.jpg


29SOG.jpg


I3eh5.jpg


The-numbers-of-cars-parked-in-these-houses-bring-to-queation-the-effectiveness-of-the-slum-upgrade-Who-benefits-from-these-house-allocations.jpg


slum+px.jpg


g9SAf59h.jpg


16123406_251684441937848_5272866271954731008_n.jpg
Kila nchi imeedelea inategemea ni kwa namna gani unapima maedeleo ya nchi yako kuzidi nchi nyingine, hii battle of supremancy ya miji haina mshindi maana kila jiji linaedelea kujengeka kwa kasi...
 
Jamani ki ukweli Mimi ni mtanzania wa asili kabisa lakini Hii battle ya Nairobi na Kenya ni Rahis Mno na huu ndo mtazamo wangu....

Nairobi ipo mbali Sana kuliko Dar katika Nyanja za uwelewa wa kimaisha

Kuhus madhari ya Haya majiji mawili Bado Nairobi ipo mbali sana
Hamna kitu hapo
 
Macho yangu yananielezea kuwa katika picha la kwanza ni kana kwamba huo mtaa wa mabanda umezingira mji mzima

4ut26ewnak0.jpg


ilhali kwenye picha ya pili, huo mtaa upo kwenye eneo ndogo tu, na umezingirwa na mitaa poa poa.

Kibera_aerial_view_western_part.jpg
Haha we naona ushindani umekushinda tafuta jingine hill wenzako walikaa kimya huko nyuma ndio maana unaona umebaki pekeako tafuta jingine hakuna kitu kipo Nairobi dar ukakosa lakini vipo vitu dar Nairobi hakuna ni ndoto
 
Kila nchi imeedelea inategemea ni kwa namna gani unapima maedeleo ya nchi yako kuzidi nchi nyingine, hii battle of supremancy ya miji haina mshindi maana kila jiji linaedelea kujengeka kwa kasi...
Dar ndio mji wa kwanza afrika unaojengeka kwa kasi zaidi
 
Kibera nyumba za matope jahaha manzese hakuna nyumba ya matope my friend hakuna nyumza za mabati huku nyumba za block u can't compare kibera is a biggest slum in the world my friend hahahhaa usiende speed tulia

You are wasting my time, let us post p[ictures. Nairobi is more than Kibera.
2493989_surb1_jpegd3fc81d6a8846898049c3e2c3c87e5c6


redhill-housing-building-residential-nairobi-architecture-beglinwoods-architects-13.jpg


redhill-housing-building-residential-nairobi-architecture-beglinwoods-architects-1.jpg


11079569_833122243427133_2548664315556738702_o.jpg


30ZsBUu.jpg
 
Tatizo lako ww hutokaa kujua maana ya unplanned na slum dar hakuna slum slum ya ajabu pekee afrika iko Nairobi kibera ambapo hata nguruwe hawez kuish hapo
[emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila kweli hata nguruwe wetu wanaishi maisha mazuri kuliko mamilioni ya wakenya jamani wakenya njoneni niwafuge huku kuna maziwa na asali
 
The Whole of Dar is Slum. See for yourself. Ukimaliza meza piriton ulale.
proxy-5.jpg
 
Back
Top Bottom