ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
Mm ndio daktari wakuwatoa uwoga nyako maberHawa jamaa wameshindwa kukiri na wanaoina aibu. Yaani tumewauliza mpaka tumechoKka walete vitu ambavyo vipo Nairobi Dar es salaam havipo. Wanakimbia na kutoa misifa ya ajabu ajabu tu. Sisi tumewanonesha mambo kibao. Hawa jamaa waoga na waongo sana.
Hehehehhe
KARIAKOO Termianl 1
BRT Bus at Posta ya Zamani Bus stop