Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hakuna mtanzania anaeishi maisha kama ya kibera, mathare , korogocho, kangemi etc hakuna mpaka mm hua najiuliza munasiri gani ya mafanikio hapo watu wanaweza ishi sehem ambayo nguruwe hawez kuishi dahhhh hapo mm ndipo nachoka
 
Kwan
Jibu swali wewe. Je Nairobi ipo? au umeamua kuongea tu? Tuoneshe Sewage system ya Nairobi (Mathare, Kibera nk.)
Kibera ni informal settlement. But better places kuna Sewage system. Dar es Salaam zaidi ya 70% ni informal, thats why you are among the poorest major cities
 
hakuna mtanzania anaeishi maisha kama ya kibera, mathare , korogocho, kangemi etc hakuna mpaka mm hua najiuliza munasiri gani ya mafanikio hapo watu wanaweza ishi sehem ambayo nguruwe hawez kuishi dahhhh hapo mm ndipo nachoka
Kwanini basi Tanzania ni LDC?
 
Kwan

Kibera ni informal settlement. But better places kuna Sewage system. Dar es Salaam zaidi ya 70% ni informal, thats why you are among the poorest major cities
Onesha picha ya Sewage system za Kibera. Mbona simple sana rafiki. Wewe tupia picha.
 
Second comment hana ushabiki nchi yake kama mimi ama wewe. Is he lying?? hahah He is a neutral
https://www.quora.com/How-do-you-compare-Kenya-to-Tanzania
Mtoke kwa Least Developed kwanza, then
true3.PNG
mje kutusumba
 
Onesha picha ya Sewage system za Kibera. Mbona simple sana rafiki. Wewe tupia picha.
Kibera ni slum, unataka shanties connected to sewage system? Thats why zinaupgradiwa. Better sewage system huwa underground kaka. Najua dar hamna haya, better estates huwa connected
 
ahahhah we unatuletea comment ya mtu hapa sisi hatutaki porojo leta facts unaona wanakimbia palepale wakirudi hahaha hakuna jipya tena
Ni mtu amezitembea nchi zote mbele, ako na better judgement. tafuta mwenye atasema your country is better kaka.
 
Kibera ni slum, unataka shanties connected to sewage system? Thats why zinaupgradiwa. Better sewage system huwa underground kaka. Najua dar hamna haya, better estates huwa connected
rudia hio kabla sijakuwekea picha hebu rudia tukuskie vzr my friend naona njaa imekukamata kabla sijakuonesha vzr
 
Ni mtu amezitembea nchi zote mbele, ako na better judgement. tafuta mwenye atasema your country is better kaka.
kamuulize alitembea mwaka gani unashtuka bure mwaka gani tujue katemebea 90s huyo sio 2017 baba hahahaha
 
Kibera ni slum, unataka shanties connected to sewage system? Thats why zinaupgradiwa. Better sewage system huwa underground kaka. Najua dar hamna haya, better estates huwa connected
Mbona unakimbia kama vile mnyoo. Ndiyo maana nimekuuliza umewahi kukaa Dar? Hivi kwa akili yako ndogo tu. Magorofa mengi mengi yaliyopo dar es salaam maji machafu huwa yanaenda wapi?

Au wewe ni mtoto mchanga wa juzi juzi. Ndiyo maana nikakuuliza leta.

Soma hapa taarifa kuhusu revamping sewage system. How you can revamp while is not there!?

Tanzania: Dar City Sewerage System Set for Major Overhaul
 
we are talking of 2017 hakuna porojo tunataka facts ili tuelewane vizuri kabisa dar ndio baba wa east afrika ndio maana kwenye Christmas wakenya kibao wanakimbilia dar kula bata, dar ya moto
 
hehe likoni au niweke hapa mombasa watu over 70% wanaishi kwenye likoni slum ya mombasa maskini wakutupa
unarudia huu upoyoyo wako wa likoni slum....ebu eka iyo picha ya likoni slum tuione.nimegundui hujui Mombasa kabisa.
 
munakimbilia barabra tu kwan uliambiwa hukua hakuna barabara funguka weka vitu acha maneno

There is no city with no infrastructure, I city is not skyscrapers, a city is how it is planned, the ease of doing busines, movement and ease of living. That is the difference about Nairobi and Dar.

Ichoboy01, i also want to educate you a little, Kibera is not a current problem, Unlike Dar which is growing into a big slum, KIbera is shrinking and changing. Kibera did not start now. It was started way back in 1940's to settle African workers who were working for the Europeans in Nairobi, After independence, their relatives came to li9ve here and it became big, as we speak, 40% of Kibera has already changed to modern suburb of Nairobi. Soon it will be a story. The picture you are posting are as old as 10 years.

Check it out

nairobi_photos_11.jpg

an-aerial-photo-of-kibera-in-nairobi.jpg

This is the project being implemented : Renewal of Kibera

ololo.jpg

New-Kaloleni3.jpg

The project is already on and is happening. planned to take three years
4lrxyHO.jpg

Example, below is a school that has just been completed in Kibera
0fgjhs16jg0a97dla.39067cf4.jpg

Roads into Kibera being changed
DSCN8256.jpg

DSCN8255.jpg
 
Unajitahidi sana kuleta picha za barabara.
 
wamatopeni nawasabahi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
01f2436d123e2a3e313b513dc73b9ee3.jpg
 
Dear kenyan forumers,stop arguing with this short sighted morons,the more you argue with them the more you demean our status,let them spew all kinds of stupid trash like empty debes,because after all they have nothing to show and we will always lead.Ignore them...
 
Back
Top Bottom