Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibera ni informal settlement. But better places kuna Sewage system. Dar es Salaam zaidi ya 70% ni informal, thats why you are among the poorest major citiesJibu swali wewe. Je Nairobi ipo? au umeamua kuongea tu? Tuoneshe Sewage system ya Nairobi (Mathare, Kibera nk.)
Kwanini basi Tanzania ni LDC?hakuna mtanzania anaeishi maisha kama ya kibera, mathare , korogocho, kangemi etc hakuna mpaka mm hua najiuliza munasiri gani ya mafanikio hapo watu wanaweza ishi sehem ambayo nguruwe hawez kuishi dahhhh hapo mm ndipo nachoka
Onesha picha ya Sewage system za Kibera. Mbona simple sana rafiki. Wewe tupia picha.Kwan
Kibera ni informal settlement. But better places kuna Sewage system. Dar es Salaam zaidi ya 70% ni informal, thats why you are among the poorest major cities
ahahhah we unatuletea comment ya mtu hapa sisi hatutaki porojo leta facts unaona wanakimbia palepale wakirudi hahaha hakuna jipya tenaSecond comment hana ushabiki nchi yake kama mimi ama wewe. Is he lying?? hahah He is a neutral
https://www.quora.com/How-do-you-compare-Kenya-to-Tanzania
Mtoke kwa Least Developed kwanza, thenView attachment 481274 mje kutusumba
Kibera ni slum, unataka shanties connected to sewage system? Thats why zinaupgradiwa. Better sewage system huwa underground kaka. Najua dar hamna haya, better estates huwa connectedOnesha picha ya Sewage system za Kibera. Mbona simple sana rafiki. Wewe tupia picha.
Ni mtu amezitembea nchi zote mbele, ako na better judgement. tafuta mwenye atasema your country is better kaka.ahahhah we unatuletea comment ya mtu hapa sisi hatutaki porojo leta facts unaona wanakimbia palepale wakirudi hahaha hakuna jipya tena
nyie ndio mumetoka au serekali yenu ndio inakudanganyeni hvo hehehe mm swali langu hawa hua hawaliibu nauliza tena uchumi wa kenya umeshikwa na kina nani??????Kwanini basi Tanzania ni LDC?
rudia hio kabla sijakuwekea picha hebu rudia tukuskie vzr my friend naona njaa imekukamata kabla sijakuonesha vzrKibera ni slum, unataka shanties connected to sewage system? Thats why zinaupgradiwa. Better sewage system huwa underground kaka. Najua dar hamna haya, better estates huwa connected
kamuulize alitembea mwaka gani unashtuka bure mwaka gani tujue katemebea 90s huyo sio 2017 baba hahahahaNi mtu amezitembea nchi zote mbele, ako na better judgement. tafuta mwenye atasema your country is better kaka.
Mbona unakimbia kama vile mnyoo. Ndiyo maana nimekuuliza umewahi kukaa Dar? Hivi kwa akili yako ndogo tu. Magorofa mengi mengi yaliyopo dar es salaam maji machafu huwa yanaenda wapi?Kibera ni slum, unataka shanties connected to sewage system? Thats why zinaupgradiwa. Better sewage system huwa underground kaka. Najua dar hamna haya, better estates huwa connected
unarudia huu upoyoyo wako wa likoni slum....ebu eka iyo picha ya likoni slum tuione.nimegundui hujui Mombasa kabisa.hehe likoni au niweke hapa mombasa watu over 70% wanaishi kwenye likoni slum ya mombasa maskini wakutupa
Du hi ni kweli ? binadamu uko Nairobi wanaishi ivi , mpaka nawa hurumiahuruma slum in nairobi city kenya known as middle economy
View attachment 481181 View attachment 481183 View attachment 481184 View attachment 481185 View attachment 481186 View attachment 481187 View attachment 481188 View attachment 481189 View attachment 481190 View attachment 481191 View attachment 481192 View attachment 481193 View attachment 481194 View attachment 481195 View attachment 481196 View attachment 481197 View attachment 481198 View attachment 481199 View attachment 481200 View attachment 481201
munakimbilia barabra tu kwan uliambiwa hukua hakuna barabara funguka weka vitu acha maneno
Unajitahidi sana kuleta picha za barabara.There is no city with no infrastructure, I city is not skyscrapers, a city is how it is planned, the ease of doing busines, movement and ease of living. That is the difference about Nairobi and Dar.
Ichoboy01, i also want to educate you a little, Kibera is not a current problem, Unlike Dar which is growing into a big slum, KIbera is shrinking and changing. Kibera did not start now. It was started way back in 1940's to settle African workers who were working for the Europeans in Nairobi, After independence, their relatives came to li9ve here and it became big, as we speak, 40% of Kibera has already changed to modern suburb of Nairobi. Soon it will be a story. The picture you are posting are as old as 10 years.
Check it out
![]()
![]()
This is the project being implemented : Renewal of Kibera
![]()
![]()
The project is already on and is happening. planned to take three years
![]()
Example, below is a school that has just been completed in Kibera
![]()
Roads into Kibera being changed
![]()
![]()