Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Upper Hill, the new by passing Sandton
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupayuka una payuka sana wewe na akili za kitoto sana, mara ya mwisho kujibizana na wewe sababu bado hujakuwa mwanamme timamuItakua 1590 kmsq bila kujengwa hvi we akili yako timamu unafkiri Nairobi ingekua 696kmsq bila kujengwa punguza utoto na akili ndogo
Kwikwi unaongelea Taarifa za miaka ya zamani sana.
Hebu soma hapa beautiful cities in Africa
The Most Beautiful Cities in Africa
Halafu Cleanest Cities in Africa hapa:
Top 10 Cleanest Cities in Africa 2016
Sasa mambo yote hayo tupo sambamba twende sasa kwenye slums utacheka kuhusu Nairobi.
Kidogo tu, huoni hiyo Africa Cocacola Center pale, it is the same very location that used to be a bush two years agoPicha zimechukuliwa different locations.
Dear kenyan forumers,stop arguing with this short sighted morons,the more you argue with them the more you demean our status,let them spew all kinds of stupid trash like empty debes,because after all they have nothing to show and we will always lead.Ignore them...
I have told akina Depay LightYagami Iconoclastes Edward Wanjala hawasikii. When you argue with a fool no one can tell who's more foolish. Stop demeaning yourselves guys - the guys you're arguing with have no common sense.
Hii inakupa picha kwanza uijue dar inamatawi makubwa na inajengeka kila siku tena kwa speed kubwa ndio maana ukaambia the fastest growin city in Africa and the second in the world hehhheheSasa let me ask you ...1590 vs 696 km sq ...spacing haimaanishi mko mbele ..can mumbai compare to newyork !!!or dubai ....dar ni kubwa hatukatia but ni ukubwa wa population .72% yenyu mko in informal settlements ...see ...mtu mature angelifahamu hili ...sasa wewe kitoto ni kukenua tu na hata hujui kile unachosema ...
Hawa waez kuelewa kwasababu hawaamini wanachokiona sasa ni ngumu sana kuelewaKwikwi unaongelea Taarifa za miaka ya zamani sana.
Hebu soma hapa beautiful cities in Africa
The Most Beautiful Cities in Africa
Halafu Cleanest Cities in Africa hapa:
Top 10 Cleanest Cities in Africa 2016
Sasa mambo yote hayo tupo sambamba twende sasa kwenye slums utacheka kuhusu Nairobi.
Maana nyie ndio Muna formal settlement with more than 10 slums kibera ikiwa the biggest and the poor slum in the world bado tu hutaki kuelewa tu hehehhehhe hamuamini kile munachooona umaskini hamuutaki lakin munao hhahhaha ndio maana njaa imewakumba ili mujitambue nyie maskini na bado hamujafkia level ya middle economy bado sana heheheSasa let me ask you ...1590 vs 696 km sq ...spacing haimaanishi mko mbele ..can mumbai compare to newyork !!!or dubai ....dar ni kubwa hatukatia but ni ukubwa wa population .72% yenyu mko in informal settlements ...see ...mtu mature angelifahamu hili ...sasa wewe kitoto ni kukenua tu na hata hujui kile unachosema ...
Sasa let me ask you ...1590 vs 696 km sq ...spacing haimaanishi mko mbele ..can mumbai compare to newyork !!!or dubai ....dar ni kubwa hatukatia but ni ukubwa wa population .72% yenyu mko in informal settlements ...see ...mtu mature angelifahamu hili ...sasa wewe kitoto ni kukenua tu na hata hujui kile unachosema ...
Hahahha anabadilisha topic kashazidiwa sasa hehhe mbona tukiweka slums humu hua munakimbia hamuongei hehheKwekwekwe Mr bra bra..... Kumbe wewe ni mla Albino ambaye ameadhirika kiasi hicho. The country in front of you is KENYA... And the focal city on this side of the Continent is NAIROBI. Kula piriton ukufe.
Ichoboy anawatesa naona hakuishi mdomoni hehehhe au unataka kunipa corruption sema tu hamuamini kama hii dar of 2017 naona povu zinawatoka sana waganda wanakuja dar hawaamini kama ndo ile dar walikua wanaijua naww tembea wacha kukariri.....housing project ambazo ziko under construction ni balaa yani moto kabisaTumejaribu kuwa funza modernity, we are helping this Tanzania brothers to get some information and be informed. Yaani wengi wamebadilika na sasa wanajielewa, huyu hapa Ichoboy01 kidogo bado ulimbukeni unamsumbua lakini kidogo atashika mita. Huu ni uzi huu ni wa Nairobi, tunawafunza ustaarabu, watashika tu kwa mda
hatutaki matusi ukikosa hoja hicho kipapa unakituliza mambo ya kibutuka hatutakiI have told akina Depay LightYagami Iconoclastes Edward Wanjala hawasikii. When you argue with a fool no one can tell who's more foolish. Stop demeaning yourselves guys - the guys you're arguing with have no common sense.
Sijawah kuona mkenya mwenye macho lakin kipofu hahaha naona umegoma kuelewa hehhe ananifurahisha sana huyu jamaa tanzania mutaielewa tu naona povu liko mdomoni hehehhe hua tunajifanya wajinga tunajenga nchi tumetulia sasa Nazi IPO Uhuru Kenyatta habari anayoUmeangalia kwa hiyo link Nairobi wako wapi??? Dar iko page 6 click on page 2 utapata Nairobi, yaani hakuna siku hakuna kitu Dar inaweza kuwa Mbele ya Nairobi, no matter where you will get the links from.
From Your Link, Luanda Angola, then Agadir Morocco, then Nairobi Kenya.........enda hadi page 6 kuta Dar
The Most Beautiful Cities in Africa