Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Edwin stop arguing with this fools,grow up and leave this morons to spew all kinds of trash.

Stop arguing with those headless fools... they will just want to annoy you so that you play to their gallery. Keep off.......
 
Motochini, punguza kulalamika.
Pendo Apartments in Nairobi
84782401.jpg
 
Yaani we vipi?? Dar hakuna barabara hadi unadhani ni hatia kuwa na barabara mijini?? Nairobi barabara kila mahali, hiyo picha imechukua sehemu kubwa sana, hadi skyline huko nyuma, unashitukia kuona barabara kama hizo??

Sasa hivyo ndivyo a global city should look like, enough spaces and good transport infrastructure

Ulitaka nichukue nyumba moja kama hapa??
DSCN4387.jpg

Unataka mtuachukue aje picha ya jiji na barabara zipotee?? We mwehu,, nini??
Tena wewe ndio hovyo kabisa
Jana ulipost picha ya mwanza humu ukizani Nairobi!!!
hahaha

7c41d8728ec1cde2c89fa76eb35a0481.jpg

Nilikuacha tu
Hii ni Mwanza NSSF
Ujinga wenu hauishi!!?
Au huyu ndie wewe
8ae62a4d1dcdbd72a57171f1f7e005fc.jpg
 
Edwin stop arguing with this fools,grow up and leave this morons to spew all kinds of trash.

Stop arguing with those headless fools... they will just want to annoy you so that you play to their gallery. Keep off.......

Hahaha nyie niliwaambia
kama kinawakera
Nendeni Kenya talk
kule thread moja Views 200 Wiki nzima!!

Hahaha
 
Tena wewe ndio hovyo kabisa
Jana ulipost picha ya mwanza humu ukizani Nairobi!!!
hahaha

7c41d8728ec1cde2c89fa76eb35a0481.jpg

Nilikuacha tu
Hii ni Mwanza NCCF
Ujinga wenu hauishi!!?
Au huyu ndie wewe
8ae62a4d1dcdbd72a57171f1f7e005fc.jpg

Kweli huna macho, yaani design zikikaribiana
Yenu hii hapa
unnamed%2B(45).jpg
 
Kenya people are people who love learning, with libraries in each town however small, the new National library, in Nairobi about to be opened to the public
18833171190_9907621ed0_b.jpg

We are getting a new Library too. Ground breaking was June 2016

111JQQ0-0.jpg

3X6A0067.jpg

3X6A0036.jpg
 
Usitake nikuaibishe bure
Unachukua picha za mwanza unadai Nairobi mpuuzi kabisa
83f09d79474b7aa826445c33cddd50ec.jpg

Tumia Akili
8b446171ca872ec39f8886ef9f69a8c1.jpg

Eishi, acha mbwembwe!!!! Sijakatalia jumba, acha uhuni. Nikama umenyanganywa, utoto acha, kuna jumba linafanana na hilo hapo Upperhill, Sasa kama nilivyo search, ikaja hiyo.

Unalialia nikama mtoto mdogo!!
 
Yaani we vipi?? Dar hakuna barabara hadi unadhani ni hatia kuwa na barabara mijini?? Nairobi barabara kila mahali, hiyo picha imechukua sehemu kubwa sana, hadi skyline huko nyuma, unashitukia kuona barabara kama hizo??

Sasa hivyo ndivyo a global city should look like, enough spaces and good transport infrastructure

Ulitaka nichukue nyumba moja kama hapa??
DSCN4387.jpg

Unataka mtuachukue aje picha ya jiji na barabara zipotee?? We mwehu,, nini??
Kama hakuna Barbara ulitegemea watu wanapaa we kumbe akili yako fupi sana hahhaha
 
Ndugu wacha uongo
Kenya haina fastest internet kushinda middle east pamoja na africa.
Habari ya udaku kwenye gazeti la kenya. Wacheni kudanganya watu.
Duuh
Hawa Mugabe alishasema wazee wakuhamisha visivo hamishika
 
Back
Top Bottom