Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wazee wakuhamisha visivo hamishika
View attachment 482682
Mkuu mungiki kwa issue za kuhamisha vitu visivyo vya kwao ni hatari
a6e9bdced7a9779ccc7647d7ea6b1744.jpg
 
Wenzie kutafuta sifa kulisha wamaliza
wao wanaangalia sifa kuliko ukweli
mmoja yupo radhi apost nyumba yako mwenyewe akikuambia kwake kumetulia!!

Mwaka jana kuna mkenya alipost Insta daraja la Nyerere akisema lipo Kenya
Cha ajabu anafuatwa na watanzania wengi kwenye Ac yake!!
Sijui huwa ni ugonjwa au laana tu!!
9fae7b4477e4bf694978146e6c5ebd14.jpg
 
Wenzie kutafuta sifa kulisha wamaliza
wao wanaangalia sifa kuliko ukweli
mmoja yupo radhi apost nyumba yako mwenyewe akikuambia kwake kumetulia!!

Mwaka jana kuna mkenya alipost Insta daraja la Nyerere akisema lipo Kenya
Cha ajabu anafuatwa na watanzania wengi kwenye Ac yake!!
Sijui huwa ni ugonjwa au laana tu!!
Basi ni shida hiyo.
 
Aliecheka dar kuna floods jibu lake hilo heheh
Wanasema nairobi ya matope
FB_IMG_1489789254544.jpg
FB_IMG_1489789257624.jpg
FB_IMG_1489789260929.jpg
FB_IMG_1489789251481.jpg
 
Back
Top Bottom