Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema vema kabisaaThis is a real battle!
Ukiachilia mbali miundombinu mizuri ya barabara na kufahamika zaidi kimataifa,naiona Nairobi ikianza kupumulia mashine mbele ya Dar.Miaka kumi iliyopita ilikuwa ni ndoto kuilinganisha Dar na Nairobi,coz vitu vingi vilivyokuwepo Nairobi havikupatikana Dar,na hasa majengo ya kisasa,lakini leo tumeweza kuilinganisha Dar na Nairobi na unaona kabisa Nairobi ikipumulia mashine
Labda tu niwajulishe Watani zetu Wakenya kwamba "Rais MAGUFULI anapenda barabara (miundombinu) kuliko hata kula,yupo radhi alale njaa lakini miundombinu ya public ijengwe"
Miaka kumi ijayo chini ya huyu Rais naiona Dar iking'ara mara nne zaidi ya ilivyo sasa
Karibuni Dar,bandari tulivu na salama-!