Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye hii picha nzima kuna sehemu yoyote inayonekana zege likiwa tayari zimeshakauka.?🀣🀣
Zege inaezakauka within a day, don’t be dumb. Actually hiyo section kidogo ndio wameweia zege alafu all tye remaining sections bado ziko foundation stage. Kama unapinga leta full pictureπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You're welcome for knowing so much about Kenya. Shows how much you're concerned with us. Anyway, the original name was Naivasha Self Service Store so he's still right.
Baadala ajiulize Mbona nimeita Naivasha yeye anakuja kutuonyesha ujinga wake. Hajui Naivas was initially known as Naivasha Stores.
 
Magufuli angejua upumbavu alioufanya unaleta nn kwetu sie? Nadhani asingekurupuka! Sasa waarabu ndio wanachukua bandari zetu zoote! Jamaa alikuwa mpumbavu sana na mtu wa mihemko! Hawa waarabu wakimiliki njia zako za uchumi hata siasa watakuamulia!
We nawe kuna kitu ulifanywa na wasukuma maana lolote ukilisikia unawashwa.

Njia gani za kiuchumi wakati wanasema "ACQUIRE" unaelewa hata hilo neno.

Kama mnaona aliharibu fanya mpeleke bungeni ile sheria yake ya 2017 ya Permanent Sovereignty over natural resources ili "WAWEKEZAJI WENU PENDWA" Wawe free kumiliki kila kitu na kufanya watakavyo.

Ovyo sana. Badala ya kufocus major resources kuwa chini ya serikali hata kama ni kwa uwekezaji ila usizidi mpo kupigia kila kitu kofi kisa tu hammpendi aliyezuia.

Baadae nione mnalia eti mbona vitu vinakwama ikiwa kila vyazo vya mapato mpo mnagawagawa tu.
 
Kuwa tu mkwali. Talanta stadium is not as good as Dodoma new stadium. Weka kando jealous na kubali ukweli.
Sasa unalinganisha uwanja haina hata viti na Talanta yenye viti na canopy covering the entire seating area. Yani kunyeshewa na mvua na kupigwa na jua ni ndoto Talanta
 
Sasa unalinganisha uwanja haina hata viti na Talanta yenye viti na canopy covering the entire seating area. Yani kunyeshewa na mvua na kupigwa na jua ni ndoto Talanta
Nani kakwambia Dodoma stadium haitokua na vitu we kasongo.? 🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom