Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Huyu mtanzania contents zake zote is all about Kenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zege inaezakauka within a day, donβt be dumb. Actually hiyo section kidogo ndio wameweia zege alafu all tye remaining sections bado ziko foundation stage. Kama unapinga leta full pictureπππKwenye hii picha nzima kuna sehemu yoyote inayonekana zege likiwa tayari zimeshakauka.?π€£π€£
Halafu tukiwaambia wanawaza Kenya wanabisha. Mwengine huyu mapua kubwa. Content 100% Kenya. ππHuyu mtanzania contents zake zote is all about Kenya.
Halafu tukiwaambia wanawaza Kenya wanabisha. Mwengine huyu mapua kubwa sura mbovu. Content 100% Kenya. ππ
View: https://youtu.be/_8Wie4jPT-4?si=KGeVjd6dw8FlVby7
ππππππππHuyu mtanzania contents zake zote is all about Kenya.
ππππππππ
View: https://x.com/BD_Africa/status/1890279789640208483?t=WEApoKR_3yA5wJK1K4qxog&s=19
Naivasha is the biggest retail outlet in Africa outside South Africa.
They opened the 110th store at Tatu City.
View: https://youtu.be/Ur5XMNycNz0?si=qmFxSRl386YWqsPr
You're welcome for knowing so much about Kenya. Shows how much you're concerned with us. Anyway, the original name was Naivasha Self Service Store so he's still right.Itβs called Naivas N NOT Naivasha!
Baadala ajiulize Mbona nimeita Naivasha yeye anakuja kutuonyesha ujinga wake. Hajui Naivas was initially known as Naivasha Stores.You're welcome for knowing so much about Kenya. Shows how much you're concerned with us. Anyway, the original name was Naivasha Self Service Store so he's still right.
Sasa wewe methuselah unadhani unajua Kenya kuniliko?Itβs called Naivas N NOT Naivasha!
Ooh umeona make up hapo?Make up kilo mbili kama jogoo ππ iykyk
What the f*ck, mbona kila mahala ni kuharibu mood,
We nawe kuna kitu ulifanywa na wasukuma maana lolote ukilisikia unawashwa.Magufuli angejua upumbavu alioufanya unaleta nn kwetu sie? Nadhani asingekurupuka! Sasa waarabu ndio wanachukua bandari zetu zoote! Jamaa alikuwa mpumbavu sana na mtu wa mihemko! Hawa waarabu wakimiliki njia zako za uchumi hata siasa watakuamulia!
Kwani Nyinyi hamkuwa mnapewa grants na USA? Mbona uko na ujinga?
Sasa unalinganisha uwanja haina hata viti na Talanta yenye viti na canopy covering the entire seating area. Yani kunyeshewa na mvua na kupigwa na jua ni ndoto TalantaKuwa tu mkwali. Talanta stadium is not as good as Dodoma new stadium. Weka kando jealous na kubali ukweli.
Nani kakwambia Dodoma stadium haitokua na vitu we kasongo.? π€£π€£π€£Sasa unalinganisha uwanja haina hata viti na Talanta yenye viti na canopy covering the entire seating area. Yani kunyeshewa na mvua na kupigwa na jua ni ndoto Talanta
Hawa mpaka wameanzisha CCM B huko Kunyaland, mtanzania hajui hata Chama cha kasongo kinaitwajeSijaona a Kenyan so obsessed with Tanzania the way Tanzanians are obsessed with Kenya.