buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,678
- 11,357
Kijana Vodacom ipo ndani ya Sheria za uwekezaji, sheria za uwekezaji zinataka Director mzawa pia.Kwa hivo Vodacom waliomchagua Silvia Mulinge ni wajinga wewe kinyangarika wa vijiweni Tandale unajua kuwashinda? Hivi unadhani Vodacom ni kikampuni cha kishambashamba kama hivyo vyenu kichague mtu asiye na skills awe Managing Director wa Kampuni yao? Huyo Mulinge mbona alienda Uganda MTN na anafanya vizuri wakati huyo Mmisri mliomchukua kisa mnachukia Wakenya alishindwa na kazi?
Means tuna power juu ya hiyo company inapofanya shughuli hapa.
Sasa UN HABITAT ipo sheria gani huko hadi mzuie mtu?
Mna anypower ya kuzuia aliyeteuliwa na GENERAL ASSEMBLY ya UN hapo Kenya kwenye office yao msiyo na power nayo?