Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hali ni mbaya huyu atakwamisha mradi wa SGR kwenda Kindu! Saahii tayari kashachukua North and South Kivu!
Nishasema Kongo wenyewe ndio wanaofelisha ilitakiwa muda huu kuwe na executive order ya Makampuni yote ya madini kustop shughuli hadi waasi waishe, na ilitakiwa order ya kufunga mipaka kijeshi.

Kustaafisha maafisa wote wa kijeshi Goma, kutoa curfew na battalion ya Goma ibadiliishwe maana hiwezekani upeleke Jeshi kusaidia alafu wanajeshi wenyewe wanaenda jisalimisha na wanakujua.

Vinginevyo watakomaa huko.

Ukiwacheki kabisa sio waasi ni RDF kabisa ukicheki how RDF wanabehave ndivyo M23 wanabehave.
 
Tanzanite bridge 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

FB_IMG_1739885424847.jpg
 
Back
Top Bottom