instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Kibada Dar es Salaam.Kuna ile mbweni yenye imepata barabara mbili kisa Rais wao kajenga huko, wameizungusha hiyo barabara humu hadi imechoka. 😂 😂
Halafu wew si ulisema kigamboni haina lami?
View: https://youtu.be/Br9-54GPzG0?si=wXYp17cHYxlaa4kt