Hao wakenya unaweza wataja? Acha ujinga.
Tumelease national parks?
Mbona kila siku ukishikwa unakimbilia mifano isiyoeleweka.
Ports na kilimo wapi na wapi, so uklease gati moja ya port ndio ifanye wewe kuhisi wakenya wamekua leased na ardhi ya kulima matani kiasi kwamba wanajaza maroli yote ya Kenya 300k Tons?
Ufala mwingine tatizo.
Haya basi tuambie Wakenya hao walio kuwa leased na Serikali ardhi inayoweza produce 300k Tons of Maizes kwa Wakenya. 600k Tons of Maize to Zambia, 100k tons to WFP.
500k Tons of Maize to DRC.
I WOULD LIKE TO KNOW HAO WAKENYA WANAOPRODUCE PIA 11 MILLION TONES OF MAIZE hapa Tanzania.
"Mzee wa Watanzania wanaojifanya Wakenya"