Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Please guys huu uchawa tuukemee naona muelekeo mbaya kabisa.

Mama yenu anayeza kupata kura na upendo bila hata uchawa wa kelele. Ikiwa kila anacholenga anakitimiza.

Mama amezungukwa na Controversy nyingi za uuzaji wa ardhi na rasmali na uwekezaji wa kuficha ficha mpaka unatia shaka.

Nidhamu ipo chini ya utendaji, vitu vipo slow.

Kama mna nia ya kumfanya mama apendwe telekeza vitu vyote kikamilifu.

Sio unafungua alafu unaingia mitini kuongeza kero. BRT ujenzi kusua sua huku jijini na barabara zimetifuliwa ni mambo gani haya?

Mkakati wa nishati safi ni mzuri naupongeza. Ila hampo serious kuwaza tozo kwenye nishati safi itakayofanya watu waditch hiyo nishati warudi kule kule.

Punguzia kodi kwenye gari za CNG muone zitajaa, Gesi ni yetu serikali badala ya kutolea mimacho tozo, si iangalie volume ya gesi wanayouza.

Hamjifunzi nchi za Uarabuni na Mafuta yao ikiwa wanauza kwao wenyewe mafuta cheap.

Narudia PUNGUZA UCHAWA, ONGEZEA KAZI NA UTEKELEZAJI.

ONDOA MACHAWA GOVERNMENT WEKA WATAALAMU.
 
unajua foundation ya 20 floors inavokaa ww engineer wa githeri na jaba😂😂😂
Yeah, I see foundations of 20 and 30 floors buildings being done here in Nairobi everyday and it’s exactly like that. Wewe Ebu niambie in the last 5 years umeona wapi foundation ya 20 floor buildings ikichimbwa hapo vumbistan.
 
Umesema tu Lasarani name written using seats wengine washawaka moto eti ooh, unasema this is the first in East Africa eti ooh we already did it in Amaan Stadium. Hawa majamaa inferiority complex itawaua. 😂 😂
Nakuambia hii mambo ya Kasarani inawauma sana😂😂😂. Mark my word, Semi Finals za AFCON zitachezwa Kasarani alafu Finals Talanta.
 
Hawa watu wanachekesha sana. Yaani nisafiri kutoka mkoani au nchi jirani halafu nianze kununua vitu saa sita au nane usiku?!! Mambo ya 24hrs wawaachie super market na wauza chips na huwa inakuja naturally sio kwa uchawa.
Na wameendaa event juzi hapo Kariakoo..sijui wametumia sh ngap kwenye event ile ya kufungua 24hrs.
Yaan pesa zinatumika ovyo siku hiz wakati tuna challenges kibao.
Msimbazi street imezidiwa, hakuna hata sehemu ya kupita, huku boda, huko bajaji, huku machinga., huju ujenzi...Na siku hiz pamekuwa pachafu sana.

Mimi ningekuwa mayor.
Marufuku ya all vehicles kupita msimbazi street kutokea msimbazi A hadi uhuru street with exception of Mwendokasi tu.
Mtaa unaofuata wa likoma ungekuwa one way na Ndanda oneway...halafu naweka mataa kwenye makutano yake na uhuru road.
 

nakumbuka wakunduni Teargass NairobiWalker IamLee nairobae Nicxie n mwathadan walikuwa wanadai hii barabara ni ya lami!

Screenshot 2025-03-01 121402.png
 
Back
Top Bottom