RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Hao machawa nilitupa ignore list siku nyingi sana.Yaani kuna watu humu nitaanza kuwaiginoo moja baada mwingine
leo nimeanza na huyo chawa na 1 na wengine watafuata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao machawa nilitupa ignore list siku nyingi sana.Yaani kuna watu humu nitaanza kuwaiginoo moja baada mwingine
leo nimeanza na huyo chawa na 1 na wengine watafuata
HAha sasa wewe ndo utuletee hata sample Moja ya picha yakifanyiwa testing maana mpaka yameanza chakaaLete uthibitisho, kwnn unaongea pasipo evidence? Tabia mbaya sn hii.
We Listone Mutai umekuwa mjinga sn siku hz.Ukiwa umejengwa.. sio ukiwa umechimbwa mitaro tu
Vichwa viko wapi vya kusukuma hizo behewa?HAha sasa wewe ndo utuletee hata sample Moja ya picha yakifanyiwa testing maana mpaka yameanza chakaa
Tuko fifa eeh lini mmehost mpira wa kuelewekaIs there any stadium in Tanzania that has ever hosted a world tournament event?
Vimelipiwa toka 2019 ndo utueleze viko wapi maana mabehewa tunayotumia sasa hivi yameagizwa 2021 Tena ni mapya kabisa inakuwa refurbished zichelewe kwa kipindi chote hichoVichwa viko wapi vya kusukuma hizo behewa?
Picha ya zamani sana hii
Kuna hawa wanaoangaika kuwajibu utadhani hawaoni sehemu ya ignore. 😂😂😂Uzi ushaingiliwa na machawa,machawa + wajinga wa kibera= ¿¡》《《£}€£●,
Ngoja nilale
HahaKuna hawa wanaoangaika kuwajibu utadhani hawaoni sehemu ya ignore. 😂😂😂
Usiwalaumu ni exposure ndiyo hawana, kwao hakuna brt, leave alone electric sgr.Hadi Japan huko First world kuna wafanyakazi nje wanashindilia watu ili milango ifunge😂😂😂😂😂Lakini KUNGUNI TRANSMISSION Rider aka MATHR3333 anajiona yupo juu 😂
View attachment 3254988
View attachment 3254989View attachment 3254990
Ila unakuwa haujaingiliwa tukimsifia Mzee magu sio?Uzi ushaingiliwa na machawa,machawa + wajinga wa kibera= ¿¡》《《£}€£●,
Ngoja nilale
Inakera aisee,machawa wana jukwaa lao siasa,wanatuonea wivu tunavyoosha hizi slums sleepers,wakaona wenyewe waje hukuKuna hawa wanaoangaika kuwajibu utadhani hawaoni sehemu ya ignore. 😂😂😂
Brt ilikuwa idea ya nani?Usiwalaumu ni exposure ndiyo hawana, kwao hakuna brt, leave alone electric sgr.
Mkiambiwaga ukweli mnakimbilia uchawa sioInakera aisee,machawa wa jukwaa lao siasa,wanatuonea wivu tunavyoosha hizi slums sleepers,wakaona wenyewe waje huku
Picha Ina BRT unasema ya zamani? 🤣🤣Picha ya zamani sana hii
We maku route ndefu ya brt kivukoni to mbezi ni zaidi ya km 25,na ndani ya dakika 20 unakua ushafika na hapo kuna wanaoshukia njiani,tuambie huko naikundu kwenye public transport km 25 utatumia masaa mangapi?Picha Ina BRT unasema ya zamani? 🤣🤣
Mombasa mpya iko wapi? Mombasa yote imejaa nyumba za udongo na makazi holela kushoto kulia, wacha ujinga.Unaogopa Mombasa mpya, imebidii utafute picha za Mombasa old town ujiliwaze na bado hata hio old town bado iko sawa sana.
Dar es Salaam miaka mitano kila kitu huwa ni tofauti.Hiyo picha ya kuanzia 2016 kurudi nyuma lakini kwa sana pamebadilika sanaPicha Ina BRT unasema ya zamani? 🤣🤣
Elewa swali ndiyo ujibu. Yani apo umejipiga risasi ya mguuni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ulivunja wewe ama?