NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Haya, type current photo tuone manadiliko mheshimiwa.🤣Dar es Salaam miaka mitano kila kitu huwa ni tofauti.Hiyo picha ya kuanzia 2016 kurudi nyuma lakini kwa sana pamebadilika sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya, type current photo tuone manadiliko mheshimiwa.🤣Dar es Salaam miaka mitano kila kitu huwa ni tofauti.Hiyo picha ya kuanzia 2016 kurudi nyuma lakini kwa sana pamebadilika sana
Eti kutoka mwanza kuja Dar kabla ya kikwete ilikuwa lazima upitie Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukisema haikufanyiwa KAZI inatakiwa ujue Kila mpango wa serikali unaenda kwa awamu.
Mfano kipindi kikwete anapokea nchi central corridor ilikuwa kama imefungwa na watu wa mwanza ili kufika dar iliwalazimu wapite Nairobi akaifungua na kupafingua mtwara. Awamu ya kikwete ndo imejenga barabaran nyingi sana kulingana na tanroads.
Akakomaa nashida ya umeme ndo iptl na song as zikazaliwa akaongeza ajira maradufu ambayo ilileta multiplier effect kwenye uchumi wakati magu anakabidhiwa rungu aliambiwa kabisa Kuna ujenzi wa reli na muhimu sana kwa ajili ya kuovertake Nairobi na hata ukiangalia barabaran alizojenga magu kwa awamu ya kwanza tu na zile za kikwete awamu ya kwanza za magu hazifiki hata 1800 km huku jk akiwa na zaid 3300km kwa kuanzia 2005-2010.
Kila kitu kinaenda kwa awamu
Haha taja barabaran yoyote ya kutoka mwanza iliyokamilika kabla ya 2005Eti kutoka mwanza kuja Dar kabla ya kikwete ilikuwa lazima upitie Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo mwenye idea kafanya machache sn kulinganisha na aliyefuatia, kuona ni kuamini.Brt ilikuwa idea ya nani?
Ujenzi wa brt umeanza 2012. Hapo ni idea ya nani
Unataka usiku huu niende kupiga picha we sio mzima😀Haya, type current photo tuone manadiliko mheshimiwa.🤣
Labda tuanze hapa kipi kinafanya gesi iwe gharama?seriously vitu vya ajabu sana unampa mtu mtungi wa gas bure wakat gas yenyewe ya 6kg ni 25k 😂😂😂😂😂
Mm nikiwa kijana mdogo kabisa miaka ya 90s familia yangu pamoja nami tulihama kutoka Dar kwenda mwanza kwa kutumia barabara na tulirudi kwa kutumia treni, hatujawahi kupitia Nairobi, kuhusu barabara kuwa mbovu kwa miaka ile ni kawaida kwa Africa, mpaka sasa nchi nyingi hazina road za kueleweka za kuunganisha mkoa kwa mkoa ukiacha TANZANIA.Haha taja barabaran yoyote ya kutoka mwanza iliyokamilika kabla ya 2005
Mimi nadhani ili twende sawa ilitakiwa tuwe na cost analysis na ripot ya ukaguzi wa hiyo miradi .Huyo mwenye idea kafanya machache sn kulinganisha na aliyefuatia, kuona ni kuamini.
View: https://x.com/africafactszone/status/1895850379520459171?s=46
With Safaricom operating in Kenya and just launched in Ethiopia, of all these it still has the highest average revenue per user (ARPU)
You have all the time to prove yourself right buddy. Just do it when you can tufunge mjadala.🤣Unataka usiku huu niende kupiga picha we sio mzima😀
Sidhan basi uliwahi fika mwanza kipindi hicho.Mm nikiwa kijana mdogo kabisa miaka ya 90s familia yangu pamoja nami tulihama kutoka Dar kwenda mwanza kwa kutumia barabara na tulirudi kwa kutumia treni, hatujawahi kupitia Nairobi, kuhusu barabara kuwa mbovu kwa miaka ile ni kawaida kwa Africa, mpaka sasa nchi nyingi hazina road za kueleweka za kuunganisha mkoa kwa mkoa ukiacha TANZANIA.
Watu wa mombasa ni mbwa tu, ukilinganisha na wasukuma. Hii ni jamii ya wakulima na wafugaji, hawajui njaa hawa.Umejuaje kwetu ni mwanza👇 😂😂😂View attachment 3255273
is there an oath that you guys swear on before you’re given an ID? Or is it just the culture to deny in broad daylight. I don’t get it. So all these people (daily users) are also like meIt's normal during rush hour in all major cities around the world. The guy who posted and others are just like you.
Mtu alishajifia. Muache apumzike kwa Amani.Ila mbona haya mambo yapo awamu zote au tumesahau ya kina polepole . Kitu pekee kinachoonekana ni kwamba tunalinganisha na aliyepita ila hamtaki tuongelee negativity za aliyepita.
Tunapenda tusikie ufisadi wa mama ila akiguswa aliyeondoka kama reference ni vita.
Ufisadi uliofanyika penzi za mwendazake ni mkubwa kuliko awamu zote na miradi mingi ilisimama ila kwa sababu ni malaika hatakiwi kuzungumzwa
is there an oath that you guys swear on before you’re given an ID? Or is it just the culture to deny in broad daylight. I don’t get it. So all these people (daily users) are also like meView attachment 3255294
View attachment 3255292
View attachment 3255297View attachment 3255298
Ona vile watu wanaskumana na kukimbilia basi
View: https://youtu.be/YKTh3Qp9_nY?si=2QNOv8oVEGEcRh_h
Sijui hata unaongea kuhusu nn wewe jamaa, ni kweli tulitumia muda mrefu lkn hatukupita Nairobi na sijawahi kufika Nairobi na sifikirii kufika huko in the future.Sidhan basi uliwahi fika mwanza kipindi hicho.
Barabaran za kutoka nzega mpaka manyoni na dodoma zimeanza kujenga miaka ya 2004 mpaka 2006 na ili uweze ufike mwanza kwa unahisi kama hutumii treni na kwa haraka ilikuwa lazima upande basi kuzungukia Nairobi na ndo ilikuwa njian ya haraka kufika dar bila usumbufu.
Mabasi yalikuwa Scandinavia baadae sana akaja Mombasa raha na kadhalika na kwa kutumia njian ya vumbi ilikuwa ni sas limited toka bukoba , Mohamed trans kotekote,
Najmunisa na kadhalika. Sasa kama hujawahi tumia Nairobi basi ulikuwa unatumia zaid ya siku mbili wakati wenzio masaa 24 wako dar
Mombasa kuna joto kali kuliko Dar.Na joto la Dar slum jiulize kunanuka vipi hapo
Mombasa waiogopa sanaWatu wa mombasa ni mbwa tu, ukilinganisha na wasukuma. Hii ni jamii ya wakulima na wafugaji, hawajui njaa hawa.